Recent content by Sipendi Masihara

  1. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Sitaki kiongozi... sitaki kufa mapema kwa stress zinazoletwa na watu wengine wakati tunaishi mara moja tu... Hata nikiwa na ukwasi kiasi gani siwezi fanya hivyo kiongozi
  2. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Mimi niliishi kwa ndugu, sitawahi kanyaga kwa ndugu yeyote tena maishani mwangu!
  3. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Siwataki ndugu hata kama nikiwa navyo hivyo vyote... labda watu nilioajiri tu (watubaki)
  4. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Duuh Mimi nimejifunza, hata nikiwa nacho sitaki mazoea na watu tena!
  5. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Mbona wao wakiwa tupu sisi wengine tunakuwa nao tu hao tupu tunawabeba?!!!
  6. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Udugu udugu jamani Africa unaturudusha nyuma sana kinaendeleo (wazo langu jamani) Jamani ndugu zangu ninaomba mawazo yenu pia kwa hili swali langu: Hivi inakuaje mtu mara nyingi anapokuwa na maisha mazuri, waliomzunguka au ndugu zake wanamthamini sana na wapo tayari kuwa naye muda wowote lakini...
  7. S

    Shakahola: Jaji Kavedza asema Mackenzie alitumia Dini kuwatenga Wafuasi na Ulimwengu, Kanisa la Mackenzie ni 'Cult'

    Anyongwe ili liwe funzo kwa wachungaji uchwara kama kina kiboko ya wachawi na wengine wengine
  8. S

    Kwa mtazamo wangu, 2Baba (zamani 2Face) na P Square ni moja ya wasanii bora Nigeria

    J martin umemsahau.... Usijumuishe vipaji halisi na vitu vya ajabu! Ondoa Burna Boy, Wizkid, Davido, Rema, Asake, Ayra Starr... Hawa hakuna kitu... hype za social media zinawabeba... Ukiondoa hiyo, hakuna vipaji hapo! 😁
  9. S

    Kuna tiba ya kuondoa jasho lililopita kiasi mwilini?

    Kabisa Kabisa ndugu yangu 👍🏻👍🏻
Back
Top Bottom