Recent content by Singo

  1. Singo

    Jeff (Ontario), mwanachama hai wa JF kapatwa na nini?

    Vitabu vilikuwepo soft copies vya Bure, seminar ya wiki Moja ndio ilikuwa inalipiwa . Hela zilopotea kupitia kufata calls za buy au sell zilizokuwa zinatolewa na mentor msouth ambaye inaonyesha aliingia deal na broker jp markets,ili calls ziwe misleading hela zikiungua wao wanagawana pia baadae...
  2. Singo

    Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

    Mind your own business,mtu aliyemaliza chuo Ni mtu mzima
  3. Singo

    Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

    Siwezi wahukumu hao watoto,wapo huru kuonyesha hisia zao kama binadamu haijalishi utavyozipokea . Pia maneno yao yamechagizwa Na furaha ya kumaliza elimu ya secondary ambayo imeendana Na kukua kiumri hivyo kujiona wanakuwa huru ktk maamuzi yao. Pia sitegemei wao wawe malaika in this world of...
  4. Singo

    Je, Niwaambie Wazazi Kazi Ninayoifanya !?

    Kwanini walazimishe Kuja unapofanyia Kazi. Sioni kama ni Kwa Nia njema.Adui wa maendeleo yako si lazima akawa mtu wa Mbali. Kuna watu ukiteseka inawapa faraja Na ukianza fanikiwa inawakosesha Amani .
  5. Singo

    Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Virgo wanaingia hapa, naelewa kilichoandikwa
  6. Singo

    TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Ni kifua kama cha Zay B,kiuno kama cha Ray C Na pozi kama za JD ,Sauti kama ya Fina..... Alikua na kifua kidogo (small titties)
  7. Singo

    PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Kwa hiyo umefikia hitimisho taarifa hii ndio sahihi na si Ile nyingine ,uko huru kuamini taarifa yoyote
  8. Singo

    Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

    Mimi binafsi nimejiunga Twitter July 2012 pia niliona nimechelewa kujiung,so kuhusu twitter kuwepo hiyo 2012 hilo limejibiwa. NB Twitter ilianza 2006 Na kufikia 2012 ilikuwa ni social.media.ya pili Kwa ukubwa baada ya facebook ikiwa Na watumiaji karibu milioni 200
  9. Singo

    Usibane sana mtaji ukiwa unasajili Kampuni

    1 mil capital 167,200 Above 1 mil to 5mil 247,200 Above 5mil to 20 mil 332,200 Marekebisho kidogo ktk Bei Za brela Kwa kurejea mtaji uliandikwa ktk memart
  10. Singo

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

    Wengine hata kucoment tu unajifikiria mara mbili mbili
  11. Singo

    Kitabu Gani kimebadilisha maisha yako ungependa wengine wakisome

    Shaaban Roberts - Adili Na Nduguze. Siwezi sema kimebadilisha Maisha yangu ,Ila muandishi anaweza,natamani wengine pia wapate utamu wa fasihi ya kiswahili
  12. Singo

    PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

    Hawezi acha,ndio asili yake
  13. Singo

    Haiba ya 'brothers are forever' ya mwamba inamuotea matende

    Miongoni mwa wapambe wa Lissu ni Msigwa na Dr Slaa ,inashangaza. Nimemsikia Mbowe emesema hatakuwa na shida na hata acha kusaidia chama ikiwa Lissu atashinda. Kura zitakuwa za wazi kwanini wapambe wa Lissu mnaogopa hili,kwanini mnataka Lissu apite bila kupingwa? An interested observer
Back
Top Bottom