Acha ubaguzi kwanza kauli yako ya kusema waisraeli c watu ni ya kibaguzi.kisha huna ushahidi wowote wa kutoka kitabu chochote cha dini ambao uta support hizo argument zako kuwa mifumo ya emoney ni ya kishetani.
Mimi ni mwanamume ,wasifu wangu ni kama ifuatavyo;
Urefu:173cm
Umri 32 yrs
Job:mjasiriamali
Elimu: form4
Dini: Mkristo
Colour:mweupe kdgo
Body size:average
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
Elimu:hata kama haujasoma karibu
Dini: mkristo
Kazi:hata kama ni jobless
Umri:18 to 45.
Kama upo...
Kanisa siyo jengo ndugu ,kwa hyo huwezi kusema kuwa nimekosa kanisani,huna haja ya kuwa na mashaka na uchaji wangu jambo la msingi kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako ujithathimini Wewe mwenyewe.
Mimi ni mwanamume mcha Mungu(mkristo), natafuta mwanamke wa kuoa , umri wangu ni miaka 30+, natafuta mtu ambae ana miaka ishirini na kuendelea, kwa mwanamke ambae upo serious ani pm, ila pia mimi si mtu kwenye pesa nyingi kwahiyo kama unamawazo kama hayo usije.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 31 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri 20+
Elimu: Kidato cha nne na kuendelea
Urefu: 173 cm na kuendelea
Dini: Mkristo
Mwenye sifa anitumie ujumbe kwenye namba hii: 0621249982
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.