Hicho kiapo ndo mwanzo wa matatizo, huwezi kuapa kua mtakua pamoja mpaka kifo kiwatenganishe, binadamu wana hulka ya kubadilika, leo anakupenda kesho hakupendi, leo anakuona mzuri kesho anakuona mbaya, pia wanaadamu wana siri nyingi, hivyo kuapa kuwa mtakua pamoja mpaka kifo kiwatenganishe ni...
Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii.
Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
Acheni chuki dhidi ya Uislamu. Hakuna nchi ya kiislamu iloivamia nchi ya kikristo. Kula siku ni wakristo ndio wanaovamia waislamu. Marekani kavamia Afghanistan, Iraq, Iran , Libya, Somalia , Palestine, huko kote kaacha mauaji na mateso ya kutisha. Punguza ushoga bwabwa ww
Mustafa Kamal attaturk alifanya kazi kubwa ya kuufuta uislamu uturuki na kufuata mila za kiamgharibi. Mpaka leo uturuki ni nchi ya kisekula lakini Erdogan anafanya juhudi kubwa kuirejesha katika misingi ya kiislamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.