Recent content by Sifi Leo

  1. Sifi Leo

    Broo, Ndejembi punguza usera kazini bhana

    Ndijenbi ondoa usera kazini kwako hasa pale unapokuta jitu likeiba aise Tafadhali kuwa wise....mtu kalipwa Bilioni 3 ajenge soko na lami, hakuna alichofanya we badara umsweke ndani unasema unachelea kumweka ndani unamwogopa nani aise? Swekeee ndani msaidieni mama
  2. Sifi Leo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naitaji msaada tafadhali nimefanyiwa suvey lakini hakuna kinachoendelea huu ni mwezi Sasa ,nina hudumas na tanesco kibamba
  3. Sifi Leo

    Haya wewe kiongozi wa dini, Jaji Ndunguru na wenzake si wanasali kanisani kwako? Je kesho utawafanya je

    Wewe kiongozi wa dini, Tafadhali kesho hawa waliotoa hukumu asiwape mvinyoooo,wala mwili wa yesu Kristu lasivyo ni aibu na aibu kubwa Je jaji masatu kesho unaenda je?
  4. Sifi Leo

    Naomba nikumbushwe washauri wa rais Samia katika sheria, na siasa maana ninachokiona hata mwalimu wa sayansi kimu hawezi kukifanya,nyarandu ni nani?

    Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais? Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
  5. Sifi Leo

    Je ni aibu waziri mkuu kuambiwa na mwananchi" waziri mkuu mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini?

    Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli? Je rais aliipokea kauli hiyo? Tanzania.
  6. Sifi Leo

    Siasa ni kama uchafu Zitto kabwe wa CHADEMA,akikutana na wa Act, sijui itakuaje,huyu wa sasa ni Maniii tu

    Nimekumbuka msemo wa Mke wangu kipenzi" TUMBAKA" msemo huu mke wangu upenda sana kutamka akiwa ana malengo ya kukizalau kitu fulani. Najiuliza hivi kweli watanzania tumekabadhi maisha yetu kwa wanasiasa hawa hasa wa chama cha Mapinduzi watuamlie kila jambo? Tumekabadhi maisha yetu kwa mtu kama...
  7. Sifi Leo

    Taaluma ya sheria ni taaluma ya ifutwe,ona wanavyofanya baada ya ukumu ya Lissu,tushukuru ni mwanasheria la sivyo ilikuwa aibu

    Walah hiyo taaluma ifutwe tu au la, Ukitaka kunielewa,please FATILIA kauli za akina Mwabukusi na wanasheria wa serikali dhidi ukumu ya tundu Lissu hoi taaluma ifutwe
  8. Sifi Leo

    Wale Wanaccm wa enzi za Nyerere mkoa wapi?jitokezeni kesho mumzike mwenzenu,Allute CCM wa leo hata msibani kaenda Gambo tu na yeye kwa sababu yupo nje

    Gambo kaenda kwa sababu yupo nje ya mfumo, ila angekuwa ndani ya mfumo nina hakika hasingefika msibani kubabeki midomo kama mbete(alisikika mchungaji akiubili). Nawaasa wana CCM ya Nyerere kesho mjitokeze mkamzike mwenzenu. Juzi nilimwona waziri mmoja wa enzi za Nyerere alijitokeza kutaka...
  9. Sifi Leo

    Rais Samia atuma salamu za pole vifo vya watu 21 katika ajali ya Iringa

    Jambo jema asante kwa faraja hilo mama
  10. Sifi Leo

    Nimekaa pahala nimetulia najiuliza Samia ananufaika na nini kumfunga Lissu? Je kuto ruhusu amzike Kaka yake ananufaika na nini? Je ikulu yampa nini?

    Hakika inaumiza najiuliza wewe Ndunguru na Samia mnafaidi nini ndugu zangu? Kesho Kaka yake anazikwa. Nyie mtafaidi nini ? Inaumiza inaumiza inaumiza mnoooo! Dunia sio mbaya walimwengu ndoa wabaya
  11. Sifi Leo

    Siasa bhana!,Magufuli ni hayati,Lissu ni Mfungwa gerezani, Samia ni Rais,Nchimbi,Polepole hawajulikani waliko,ndungaih ni hayati.

    Kutafakari pamoja Lissu aliyenusurika kuuwa na utawala wa Magufuli na Samia leo yupo jera kwa kosa la uchochezi, dhidi ya utawala wa Samia, ili hali Magufuli kaisha bakia fuvu. Najiuliza Samia anataka AAMBIWE neno gani na Lissu? Asante kwa kushindwa kumuua? Leo yule lopo lopo, wa utawala wa...
Back
Top Bottom