Recent content by sidimettb

  1. sidimettb

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Katika mazingira Fulani,inabidi uangalie zaidi matokeo bila kujali sana njia zilizotumika(The end willjustify the means). Kuokota pesa na badala ya kwenda kuitangaza kwenye nyumba ya ibada ukanunulia dawa ili babako apone si sawa na kufunga golila mkono ili ufurahishe jangwani/msimbazi! Kwa...
  2. sidimettb

    Mnyika Akalia Kuti Kavu

    Kwani ROST TAM alianza uwekahazina wa sisiem lini na mipango ya kuchota hela za EPA ilianza lini,kwa malengo gani....Kuanza kazi BOT 2006 si sababu tosha ya kutokuhusika kwake..think biG!
  3. sidimettb

    Uongozi wa chuo kikuu na maamuzi ya kijinga

    Serikali yetu haitaki watu wenye uwezo wa kuchambua mambo na kufikia maamuzi,iko tayari kutimua cream yote wabaki wale ma YES MAN!. Ni aibu kwa taasisi kubwa kama hii ya taaluma kuendeshwa kisiasa,tena siasa za udikteta wa chama kimoja.Wapenda haki na maaendeleo popote pale walipo ni lazima...
  4. sidimettb

    Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

    Kwanza,siungi mkono ongezeko la mshahara wa wabunge,kwani na wao wanatakiwa wau-uishi huu uhalisia wa maisha ulioopo mpaka pale watakapo ibana serikali katika kuinua hali zetu kiujumla.Kushuka kwa thamani ya shilingi yetu,mfumuko wa bei n.k vyote vinaathiri uwezo wetu wa kumudu maisha siku hadi...
  5. sidimettb

    Freeman Mbowe afikishwa kortini

    Ndg,heshima mbele.Hakuna mtu anayechochea vurugu,ndiyo maana siku zote watu tunakusanyika kwa maaelfu bila madhara yyte,mpaka waje police na kuanza vurugu. Hii ni kwa sababu,police wanatumwa na wale wanaokandamiza haki kufanya lolote linalowalinda wao wachache in expense of the majority...
  6. sidimettb

    Freeman Mbowe afikishwa kortini

    Kuna watu wanafikiri hili suala bado liko kwenye level ya ushabiki wa kisiasa,tena wa kikundi kidogo cha watu.Watawala wana muda mchache wa kufanya maamuzi makini,otherwise Tanganyika mpya itazaliwa muda mfupi ujao,kabla ya kusherekea miaka '50' ya uhuru wa TZ bara!
  7. sidimettb

    Freeman Mbowe afikishwa kortini

    Hii ni delaying tactic ya serikali ya CCM.Wameona njia ya kunyong'onyesha vugu vugu la sasa za Arusha na nchi zima kwa ujumla ni kuwasumbua/ghasi continuously viongozi wakuu wa CHADEMA ili siku ziendelee kusonga,tarehe 14 ifike,watu waendelee kujitoa taratibu katika mada ya msingi etc. Kwa...
  8. sidimettb

    Nape aongea na vyombo vya habari, alalamikia masuala kadhaa!

    A shrub can never be a tree no matter what; huyu jamaa hawezi kukomaa kiakili, ni uwezo wake ndivyo ulivyo hata kama ikipita miaka mingapi na akapewa nafasi gani! Kwa nafasi aliyo nayo ndani ya chama alitakiwa kuwa na busara ya kuepuka(Japo kwa maneno) chochote kinachoweza kukigawa zaidi chama...
  9. sidimettb

    CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

    Niwajuavyo ccm,huyo DC angefanya chochote kinachoonekana kuwa favour CDM,mngesema ni kwa sababu ya U-chaga(Kisa anaitwa KIMARIO).Yaani propaganda zenu ni hapo tu;UDINI&UKABILA/UKANDA.Kwa bahati nzuri,Wateja wa hizo propaganda wanazidi kuisha hapa TZ na ifikapo 2015,mtakuwa mmebakia ww RITZ na...
  10. sidimettb

    Najiachiaaaaaa

    Awali ya yote,si kweli kwamba kawaida siku zote ni sahihi!.Tatizo ni kwamba watz wengi ni wanafiki,zaidi ya robo tatu ya population ni either christians or muslims ambao wote wana practice the so called ndoa ya kidini.Lakini ukizifuatilia karibia ndoa zote hizo zipo kama alama tu,kwa maana ya...
  11. sidimettb

    Mukama aviabisha vyombo vya Usalama: Adai CDM imeingiza mamluki toka ng'ambo

    "DC IGUNGA,malipo ya uhuni ndiyo hayo".Ni kichwa cha habari kwenye ukurasa wa 6 wa gazeti la RAI leo(Pamoja na kwamba siku hizi linachefua kwa uchambuzi wake wakuegemea tuuuuuuu CCM),kwamba yote yaliyomkuta ni matokeo ya mwendelezo wa fitna zake alizozianza kabla hata kampeni hazijaanza,fitna...
  12. sidimettb

    Mukama aviabisha vyombo vya Usalama: Adai CDM imeingiza mamluki toka ng'ambo

    Mkuu Ngonini,Haya ya kutishia watu kwa mgongo wa CHADEMA mara makomandoo,mara magaidi hayana tofauti kubwa na zile propaganda za mwaka jana za Shimbo!.Na inasadikika vile vitisho ni moja ya sababu ya watu wachache kujitokeza kupiga kura,kwa hiyo CHADEMA inabidi wajitahidi kuwapiga dozi ya...
  13. sidimettb

    CCM maji shingoni Igunga

    Kama ambavyo inajulikana,CUF=CCM.Ndiyo maana Mwanahalisi katika gazeti lao toleo la 258 walichora katuni inayoonyesha bondia wa CHADEMA akipambana na bondia mwenye vichwa viwili;kimoja cha magamba A kingine cha Magamba B. Na RAI la leo kwenye ukurasa wao wa mbele wameonyesha picha za watu...
  14. sidimettb

    TV Ya JF Na Mwanasiasa Wetu Wa Kisasa

    Ubunifu mzuri ,hasa kwa kuongeza vionjo.Ila ingekuwa vizuri ku aknowledge kidogo ,maana huu mfanao alishwahi kuutumia hata mkapa kwenye moja ya speech zake akiwaasa wanasiasa wenzake, can't remeber well,lakini ni kama wakati flani akihutubia bunge. Nimeamua kudokeza hivi maana nimeona kuna mtu...
Back
Top Bottom