Uhamiaji walishamchunguza wakagundua ni Mtanzania halisi. Au mwenzetu unaangalia umbilical na mchongoko wa pua ?
Kama ni hivyo mtoeni na yule wa kilimo.
Mnawehuka kwa jinsi alive piga kazi. Leo ni miaka mitano lkn bado mnajaribu kumbomoa. Nyie mnaowaita wazungu mabwana wamewapa nini? Mpaka mkalambe miguuì na bado mtadaiwa mpaka mkome! Magufuli taswira ya viongozi shupavu na hili vuguvugu linaendelezwa na kina Ibrahima Traore mpaka marais...
Mbona wakati wa JK watu wakitekwa ham hamkusema kwa amri yake. Mbona sasa wanatekwa na kuuawa hamsemi ni amri ya mtu fulani? We itakuwa unetumwa kumchafua, hachafuki
Hiyo inaitwa intimidation policy. Kwa hiyo kinachofanyika kuua ni makusudi ili kuwatisha watu kusema msikosoe kwa sababu utauliwa halafu unaempigania ataingia ikulu na kuacha familia yako! So wanauliwa kwa makusudi?
Kilichomtokea Magufuli kitamtokea kila mwanadamu. We jitoe ufahamu tu. Uzuri jambo la kifo Mungu ameliweka siri yake tu. Ila ni haki ambayo kila mtu ataonja. Ni upuuzi na upagani kufurahia kifo cha mtu, tena kipenzi cha watu. Jitathmini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.