Recent content by Shkh Yahya

  1. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Shk Mohammed nilikuonya juu ya huyu mtu anayejiita Mwanakijiji. Huyu jamaa ni mbishi sana..utapoteza muda wako bureee! kuna mada humu ya NSSF na Dr Masau au NSSF na Vifo vya watoto Tabora ndipo utakapo mjuwa huyu mtu. Hebu fuatilia mijadala yake na Game Theory ndipo utakapo mjuwa. Anathubutu...
  2. S

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Sheikh Mohammed basi..utaliza wengi humu ndani. Yaani Nyerere huyuhuyu kisha asema kama hakumbuki Abdul alikuwa na nafasigani katika TAA!!! hii sasa kufru.
  3. S

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Duuh! pole sana Da Faiza...hii ndio JF tuliyoizoea na mamodereta wetu. Kwa taarifa tuu huyu Mwanakijiji yeye pia no modereta na anauwezo wakufanya yoote hayo aliyoyafanya. We have been here for longtime na hii ndio ''organisation behaviour '' yetu..tartiiibu utatueelewa. Hii posts kufutwa au...
  4. S

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Ukisikia '' kumkoma Nyani Giladi'' ndio huku...sasa ndio nini tena Barubaru!!! hii nayo mppyaaa!
  5. S

    Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

    Hawa jamaa lazima watakuwa wadini tu!!! yaani wameweza hata kushotlisti! Hii inaonyesha JK was right to appoint him as Chief Justice..hongera Jaji Chande
  6. S

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Mzee Nguruvi3 Niendelee kukiri kama mnakasha huu umetupa elimu kubwa mno... hii ni nadra kuipata darsani. Ila nadhani kuna matatizo ya msingi katika nchi hii ambayo ufumbuzi wake pekee ni mijadala ya wazi. Tutake tusitake, kuna matatizo mazito yanayohusishwa na kubaguliwa kwa waislamu. Haya...
  7. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Wewe kumbe Mwanakijiji humjuiiii......mbishi huyu.......muulize Game Theory atakupa khabari zake....lakini naona kakutana na Mmanyema...maana nyie mna sifa zenu tatu kuu. Tehe tehe. Sheikh Yahya
  8. S

    CUF yamjia juu Edward Lowassa

    Yaani kati ya CDM woote waliochangia humu ndani wewe tu ndio mwenye akili. Kuna mtu alisema humu..ukiwa unaona kuna mtu anawafata fata sana wana ndoa ... itakuwa anawaonea wivu tu juu ya ustawi wa ndoa yao. Hii ya Pro CDM kufata fata ndoa ya KAFU ni kielelezo kama wanaona wivu. Hii kusema eti...
  9. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Swadaktaaaaa. Na hata ukisoma kitabu cha sheikh Mohammed utayakuta hayo yooote. Jinsi mwalimu ( tena mtu wa bara) alivyoweza kukubalika kwenye jamii ya waislamu na watu wa Pwani na akapewa ukubwa kutokana na uwezo wake. Wakidhani kama sisi sooote ni ndugu na lengo letu ni moja ( kumuondoa mkoloni).
  10. S

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Sheikh Mohammed.. nikupe pole kwa mitusi uliyoporomoshewa na Mag3. Licha ya kukiri kama umri wake ni mkubwa zaidi ya wa kwako lakini majibu yake yaliyoambatana na kejeli ni kiashiria kama kuna walakini kwa mchangiaji huyu. Woga anaozidi kuoonyesha kwa kuficha jina lake na kujiita mag3 ni...
  11. S

    Rais kuingilia utendaji wa NHC si sahihi

    Kwani sihuyu Nehemia amekiri kama anafuata ilani ya CCM.... sasa atakoma kuringa... Raisi ndio menyekiti wa CCMna kinara wa utekelezaji wa hiyo ilani
  12. S

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Nimeona huyu Mwa Kiwembe amenitaja sana! hivyo nimeamua nitoke live.:lol:
  13. S

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Kwanza Padre Slaa atubie kwa kuvunja amri ya kuoa na kuiba mke wa mtu...tena hatujasikia harusi na yule bi mkubwa tayari ni mja mzito...duuh!
  14. S

    CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

    ukiona kuna mtu anaumia juu ya mahusiano ya wenza wa 2 basi ujue kama anaona wivu juu ya mahusiano ya wenza hawa na anatamani angekuwa yeye..hili hushindikana kutokana na dini yake... CDM chenye mfumo kristo usioruhusu uke wenza.
  15. S

    Viongozi CHADEMA waivuruga CCM Iringa na kuondoka usiku usiku

    Kwani kura za wanyoa ndevu, wavaa vi-mini na misalaba hazitoshi? ila waambie waanze na Kigoma kwanza..naona waliahirisha. Halafu waje Tanga n.k Nilidhani walipokuwa Songea wangeendelea mpaka Namtumbo,Tunduru wakatokea Masasi, Newala, Lindi Mjini, Mtwara,Kilwa, Rufiji, Bagamoyo...kumbe wooote...
Back
Top Bottom