Recent content by shirim

  1. S

    Nifanyaje ili kwenye hizi tofauti zangu za majina?

    Shukrani sana mkuu nishampata mwanasheria hapa nitaanza process very soon.
  2. S

    Nifanyaje ili kwenye hizi tofauti zangu za majina?

    Kweli mkuu parefu sana maana hata jinsia tu kwenye nida nimejaziwa mwanamke🤣
  3. S

    Nifanyaje ili kwenye hizi tofauti zangu za majina?

    Habari ndugu zangu nina changamoto za usajili hapa wa majina mimi naitwa Erick Samwel Chule... Lakini kitambulisho changu cha nida kinasoma Elick Samweli Bulugu sasa kwenye vyeti natumia majina yangu halisi lakini hapa kwenye nida ndo nilichanganya mambo maana ukiangalia ni makosa mawili kabisa...
  4. S

    Gharama halisi ya Affidavit.

Back
Top Bottom