Ndio maana wanakuja na malink na ma promo code. Mkeka alio-share ukichanika, anapata mapato kulingana na jinsi familia aliyounganisha kupitia link na promo zake ilivyoliwa. Kwahiyo watu walikiwa yeye anapata kamisheni kwa bookie.
Kupanhga matokeo ndiyo njia kuu inayofanywa na magenge ya kihalifu au watu wenye connection za moja kwa moja na wachezaji, waamuzi, au viongozi wa timu kwenye hizo ligi ndogo, ikigundulika kinawalamba. kama ulistake 100 ukala 800,000 unarudishiwa 100 yako. Kwa mhusika wa moja kwa moja na mpira...
Ukiwa inafanya miamala wanakupigia simu kuuliza kama wakutengenezee kadi, ukikubali wanakutengenezea unaenda kuchukua kwenye moja ya vitu vyao. Ila mimi binafsi sina kadi, nikitaka kufanya miamala ya kawaida nanunua tu bundle lao la buku.
Huko kwenye ligi ndogo ndio kwenye pesa kwa wenye connection ingawa na makampuni ya kubeti yanaogopa yanalimit stake wanajua huko watu kujivua utu wao kwa ajili ya swala la pesa hawaonikazi.
Kampuni waoga waoga kama sportpesa hawawezi kabisa kuweka ligi ndogo wanaogopa wao kama wao maana...
Kuna michezo sio kabisa, kuna mwamba karusha kindege (sio hiki chekundu cha aviator) ndani ya dakika 5 kala 13,000 halafu ndani ya dakika 1 kabaki na 0. Tukomae na mpira tu angalau unapata hata kuona jinsi ulivyoliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.