Recent content by shimboni mene

  1. S

    Waziri Simbachawene apendekeza Watumishi wa Umma wasiingie ofisini na simu

    Hii ni aibu ya Mwaka! Karne hii? Aisee Mhe. Umeteleza sana, shughulika na masuala ya msingi achana na hii kitu maana matokeo yake utashindwa badae utaonekana hufai!
  2. S

    Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Nadhan Mhe. Tax ni mzoefu sana kwenye platforms za kimataifa. Atakuwa alinusa maswali yanayofuaya... Kama Upunga..akaamua kukwit
  3. S

    Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize, kichaka cha Hayati Magufuli kimeisha sasa

    Kaishia kuwaita Mijitu na Wapumbavu ahahahah Yule bwana alimtukana injinia wa maji huko kusini kuwa '..utaniambia nini kilaza mkubwa wewee
  4. S

    Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Kwa mara ya kwanza leo nimemuona Mama kakasirika, mpaka kawaita watoto wa mjini-Mijitu! Katukana Stupid yaani pumbavu! JPM alishawahi kutukana kuwa '..mambo ya kipumbavu...' Mkasema ninyi hamjalelewa kufokafoka bali kalamu itaongea-SI-KWA TANZANIA!Mama kaza wabongo noma
  5. S

    Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    Umejua leo damu yangu?
  6. S

    Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

    The fact to be reckoned
  7. S

    Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Lisu alikuwa anapewa hela na wana ACCASIA. Na pesa alikuwa anazipokelea Nairobi!
  8. S

    Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Mbona wanaosali Kariakoo hawauawi? Tafakari-Chukua hatua! Hata yeye Zito, akishirikiana na waarifu anapotea, nampa tu kama inyo na anajua fika kitakachompata! Hakuna wa kuwavulia viatu waarifu!
Back
Top Bottom