Jamaa wawili walimaliza mafunzo ya ujasirimali hivyo wakahadiwa kupata mtaji wa milioni 10 iwapo wangezalisha faida ya 20% kutoka katika mtaji ambao wangepewa.Basi jamaa wakachukua sh.500,000/= wakaenda kijiji kimoja,wakachapisha matangazo kwamba wananunua NYANI mmoja sh.10,000 siku ya pili...