Je, tunautangaza utamaduni wetu kwa maneno huku tukishindwa kuwapa thamani ya kiuchumi wale wanaouhifadhi na kuuendeleza?
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yenye utajiri mkubwa wa tamaduni, mila na desturi mbalimbali. Tuna ngoma za asili, maigizo ya kimila, usimulizi wa hadithi, mavazi ya asili...
HALI HALISI YA WASANII TANZANIA: CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI, KIDIJITALI NA KIJAMII — NANI ANAWASIKIA WASANII?
Sanaa ni ajira. Sanaa ni uchumi. Sanaa ni utamaduni na utambulisho wa taifa.
Lakini swali kubwa ni hili: Je, msanii wa Tanzania ana mazingira yanayomwezesha kuishi, kuendeleza kipaji chake...
Karibu the magic village empire hapa utakutana na utamaduni na asili utajifunza ngoma za asili makabila tofauti tofauti kutoka Tanzania ngoma za asili pendwa kabisa kama
Lizombe kabila la wangoni
Sindimba kabila la wamakonde
Masewe kabila la wayao
Chikocha kabila la wangoni
Ling'oma kabila la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.