Recent content by SHAZ96

  1. S

    KERO Mke wangu amepata changamoto ya Afya ya Akili, tumekosa uhamisho Serikalini ili tuwe karibu

    Mkuu kama bado haujafanikish naomba utumie manually Nina maan tumia mbinu ya makaratasi soon tu unafanikisha
  2. S

    Vibali vya uhamisho

    Hahaha Hahahahahahahaha
  3. S

    Vibali vya uhamisho

    Wakuu niliwahi kuona taarifa ya katibu mkuu TAMISEMI na katibu mkuu utumishi, Juma Mkomi ila sikuielewa vizuri alisema vibali vya uhamisho kila QUARTER sasa siajelewa hiyo QUARTER anayoizungumzia ni zipi naomba ufafanuzi mkuu.
  4. S

    VACANCY NOT BUDGETED

    PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS 📢 UFAFANUZI MUHIMU: “VACANCY IS NOT BUDGETED” KATIKA MFUMO WA ESS Ndugu mtumishi, Kumekuwa na maswali mengi kuhusu ujumbe huu unaojitokeza kwenye mfumo wa ESS wakati wa kuomba uhamisho: ❗ “Vacancy is not budgeted” Wengi wanauliza: “Kama tayari nalipwa...
  5. S

    Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

    Mimi sihitaji pesa yeyote kutoka kwa mtu yeyote zaidi nataka kuwaelekeza namna ya kufanya
  6. S

    Nawatafuta wanafunzi wa Amanah Islamic high school Mtwara

    Habari za mchana wakuu nina shida na wanafunzi waliomaliza SHULE YA SEKONDARI AMANA ISLAMIC iliyopo MTWARA MJINI nawatafuta wanafunzi tuliohitimu kidato cha sita mwaka 2017 Nawaomba kama wapo humu JANUARY CHIUMBI JAMILA LUKANGA SHAIBU HAMIS AMID KARIMU 0791823730 0623789944
  7. S

    Kubadilishana kituo cha kazi (clinical officer)

    Habari za kazi wakuu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi Kutoka mkoa wa songwe wilaya ya momba Kwenda mkoa wowote kati ya hii LINDI MTWARA RUVUMA Mawasiliano 0791823730
  8. S

    Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

    LEO NATAKA NIWAELEWESHE JUU YA ISHU YA "VACANCY NOT BUDGETED" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe
  9. S

    UKIAMUA INAWEZEKANA

    Mkuu umejuaje na hiki kipindi cha uchaguzi nataka nipige hela sana mkuu aisee kama nilimponesha mtu stroke aisee
Back
Top Bottom