Recent content by Sharp lady

  1. S

    SANITAS hospital viwango vyenu vinashuka kwa spidi

    Sasa hivi madaktari wazuri wengi waeondoka naona management haielewi inafanya nini na wame expand hospitali bila kufikiria wateja watatoa wapi
  2. S

    SANITAS hospital viwango vyenu vinashuka kwa spidi

    Sasa hivi wana madaktari wachache sana baadhi yao mbali nakutokuwa wazoefu yaani majibu yao siyo yakufikirika hata kidogo ugonjwa wa mtu na ushauri anaopewa hata ambaye hajasoma medicine hawezi kutoka.
  3. S

    SANITAS hospital viwango vyenu vinashuka kwa spidi

    Habarini za leo wana jamvi, napenda kuishauri menejimenti ya SANITAS hospital kujitafakari nakujirekebisha haraka kwani wanakoelekea ni kubaya. Madaktari wazuri waliokuwa wanapatikana pale sasa hivi hawapo, hospitali imekuwa CHAFU, pharmacy haina dawa wahudumu wa reception wanajibu hovyo...
  4. S

    Mtawa aagwa, dereva asimulia

    Pumzika kwa amani sister.
  5. S

    Nini madhara ya kutokwenda jeshini kwa aliemaliza form six mwaka huu

    Ni muhimu sana atii maagizo yaliyowekwa kwa mujibu wa sheria. Kwanza bado anamahitaji mengi kwenye maisha yake ikiwamo nafasi zakuendelea na masomo pamoja na kazi. Tafadhali msihi aende jeshini pamoja na faida nyingine itamjengea uzalendo kwa kiwango kikubwa.
  6. S

    TBC na haya mafuriko mnajua wajibu wenu?

    lol! Kweli mdau haujachangia.
  7. S

    Hivi polisi wako kwa ajili ya kusaidia au kuumiza?

    Ni kwa muda mrefu sasa jeshi la polisi limekuwa likiandamwa na kasfa ya rushwa. Katika siku hizi chache za sikukuu nimeshuhudia jinsi wanavyoidai kwa nguvu tena bila woga wala aibu. Kwa chombo muhimu kama hichi hii haipendezi kabisa. Kuweni sehemu ya msaada nasi vinginevyo haipendezi.
  8. S

    TBC na haya mafuriko mnajua wajibu wenu?

    Imagine saivi wanaonyesha maigizo wakati kuna mambo kibao yakurusha kuhusu mafuriko mfano kambi maalum zilizoteuliwa kwa ajili ya waathirika watu wapate kuziona na kama mtu au kampuni ataguswa aweze kutoa msaada kwa njia yoyote yaani wanabore sana wako kichamachama zaidi.
  9. S

    TBC na haya mafuriko mnajua wajibu wenu?

    Inakuwaje TBC kama kituo cha television cha TAIFA haitupi update za mara kwa mara juu ya maafa wako busy na mambo mengine wakati wanaelewa kiu ya wengi ktk kupata taarifa. Kama television ya taifa hampaswi kufanya hvyo. Mnashindwa hata na Mlimani tv wenye coverage ndogo. Shame on you.
  10. S

    Dawa yakuondoa maumivu kwenye goti haraka.

    Wadau na washukuruni sana tena sana ntazingatia ushauri wenu kwa uzito kabisa. Mungu awabariki.
Back
Top Bottom