Recent content by Sharif walid

  1. S

    Anaye jua tahasisi zitoazo misaada ya matibabu kwa walemavu anijuze

    Wana bodi nita soma michango yenu usiku.Hali yangu ni mbaya sana leo najipu mzisha kidogo.
  2. S

    Anaye jua tahasisi zitoazo misaada ya matibabu kwa walemavu anijuze

    Gemu tena shekhe wangu. Kama za haribu ngoja nizitoe. Namaanisha mie
  3. S

    Anaye jua tahasisi zitoazo misaada ya matibabu kwa walemavu anijuze

    Khabari ndugu zangu wana bodi. Kichwa cha khabari cha husika. Nina ulemavu wa miguu nilio upata kwa ajali.Nime fanyiwa upasuaji mara 2 lakini bado yana hitajika matibabu mengi ya garama ila bahti mbaya khali yangu ni duni sana. Anaye jua tahasisi au sehemu nina weza kupata msaada wa matibabu...
  4. S

    El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

    Twashukuru kwa juhdi zako dada Wanu
  5. S

    El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

    Mbona mwawa wa kukerekwa hata kwa visivyo na shida?
  6. S

    El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

    Shida i wapi mana kaz anafanya vizuri tu
  7. S

    Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    vp wale twaona wakizingwazingwa majiani kuombwa zile sahihi wenyewe mwaziiita nini sijui vile?
  8. S

    Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

    Karibu vikindu Seran.Mie mwenyewe ntakupambania upate eneo mujaraba bila kadhia za madalali. Matani kando.Huko nyie mwaishi sie huku twaishia.Sidhani kama sehemu ya chumba laki 2 kuna kadhia za njia kama huku vichochoroni kwetu
Back
Top Bottom