Recent content by Shambax

  1. S

    Kwamajibu haya huyu mtu ni positive au negative?

    Iyo ni positive bro inakuwa kwenye C kwa maana ya control na iyo moja ni hiv one
  2. S

    Utapeli mtandaoni: Matapeli wanajuaje namba ya Siri?

    Itakuwa password ya mama yako ilikuwa mwaka wa kuzaliwa so either aliotea au katika maongezi mama yako alimtajia mwaka aliozaliwa
  3. S

    Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

    Sio wabinafsi kila mtu na maisha yako si utumie cha kwako Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
  4. S

    Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

    Kaka nyumba ni yako asikupangie mtu masharti, kila mzazi awajibike kwa watoto wake sio unazaa unategemea wengine wakulelee afu ukiambiwa ukweli unasema watu wachoyo Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
  5. S

    Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    Mijusi hawana shida waache tu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

    Ilo kabila sio wachoyo Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. S

    Lifestyle ya huyu Paka wangu Inaniacha na mshangao

    Paka anahitaji upendo hana shida
  8. S

    Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

    Si kweli mnaleta tafsiri zenu wakati kitabu kipo wazi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Du pole kaka hao ni matapeli sana ivi mnakuaje mnashindwa kufikiria ata kidogo kabla ya kutoa izo ela Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    Njoo pm nikushauri vizuri
Back
Top Bottom