Recent content by Sexer

  1. Sexer

    Nahama kutoka wizarani kwenda Mamlaka, je nitapanda daraja kama kawaidi?

    Mie ni mfichiwa sio mfichaji 😀😀, sa sijui na huko naenda kufichiwa!
  2. Sexer

    Nahama kutoka wizarani kwenda Mamlaka, je nitapanda daraja kama kawaidi?

    Wakuu, ningependa kujua kuwa hivi sasa niko wizarani kwenye TGS ila tayari nina barua ya kuhamia Mamlaka ambayo ina scale yake ya mshahara na mwakani natimiza sifa za kupanda daraja, je nitapanda kama kawaida au naanza upya?
  3. Sexer

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Timu nyingi za ulaya ni football club, Arsanal fc, Chelsea FC, Fc Barcelona, nk ndo maana wanajenga viwanja vya football tu sababu vimesajiliwa kama vilabu vya mpira wa miguu pekee sasa wamuwekee riadha nani?! Lakini vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania ni Sport club sio football club, Yanga SC...
  4. Sexer

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mie vacancy nishapata mzigo upo utumishi, nataka nijue pakojepakoje make kuna mtu kanitisha hapana maelekezo
  5. Sexer

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ukipata na marupurupu yao mengine utakuwa umeupiga mwingi mkuu
  6. Sexer

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    TTDASS 1 na 2 ni sawa na shilingi ngapi? Hii ni scale ya TanTrade
  7. Sexer

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    TTDASS 1 na 2 ni sawa na shilingi ngapi? Hii ni scale ya TanTrade
  8. Sexer

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Inawezekana hamna safari, vipi kuhusu mshahara na poshoposho zingine?
  9. Sexer

    Kikao kingine cha mapatano je Zele atashupaza shingo tena ..

    Mvamizi akitoka kwenye nchi ya watu vita vitaisha hapo hapo
  10. Sexer

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    TANTRADE kwa dereva Pakoje mkuu?
  11. Sexer

    Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Hata wao ingekuwa tatizo mita inakula sana wasingeomba vitu vyote hivyo
Back
Top Bottom