best mbona unawatetea sana hawa magabacholi?au tu kwa kuwa ni mengi katoa hizo tuhuma basi hastahili kutoa maoni yake kama mtanzania(mzawa).tatizo la deni l IMPORT SURPOT NA HELA ZA EPA hulijui?(Hasa za rostam) kaka hela za epa ni zile za kagoda ambazo hatujui zilienda wapi(Uchaguzi...
Na huyo mkuchika anayesema kuwa kapata malalamiko mengi toka kwa watu kuhusu tuhuma alizotoa mengi, mbona hashughulikii malalamiko ya upande wa pili ya wale wanaomuunga mkono mengi?Hebu huyu mkuchika asituchanganye.Akitaka kutenda haki apime malalamiko against Mengi na yale yanayom sapoti Mengi...
wewe nahisi ni mmoja wa mafisadi ndo maana unatka wakumbatiwe.mengi kama mtanzania ameona hali halisi ya watanzania wengi wanavyoteseka kwa umaskini uliokidhiri ulotokana na wachache kina Rostam anawapasulia ukweli wewe unawatetea?Watanzania wengi wanakushangaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!11
Mi kwa maoni yangu wananchi wajichukulie sheria mkononi kama wanavyowachoma vibaka moto kwa wizi wa elfu moja.Hawa jamaa wametufikisha hapa tulipo ni zaidi ya vibaka wanaokwapua vihela vyetu.Hawa watu wakipita mitaani ni kuwarushia mawe wachomwe moto kwa matairi ya magari yao ya kifahari.Ni wezi...
nyie acheni mambo ya majungu ndani ya hii jf.hayo ni majungu ya kibiashara.Kuna mtu kawatuma mupigie debe ATCL au ndege nyingine.Ni jambo la kawaida kusitishwa kwa safari hasa kama kuna tatizo.Nyie mnataka wawaletee ndege yenye matatizo then mkipata tatizo mseme Ooh walikuwa wapi,Oo serikali...
Hayo ndo mambo ya ushoga.Mataka kaiua ATCL sasa anaenda kuifufua NIC?kama kweli ana uwezo mbona alishindwa kuwasafirisha waislam kwenda hija?Inawezekana huko NIC kuna hela zimekaa kaa vibaya wanataka wazitumie kwenye uchaguzi 2010 kupitia kwa mataka.This is purerly commedian.
Hayo ndo mambo ya ushoga.Mataka kaiua ATCL sasa anaenda kuifufua NIC?kama kweli ana uwezo mbona alishindwa kuwasafirisha waislam kwenda hija?Inawezekana huko NIC kuna hela zimekaa kaa vibaya wanataka wazitumie kwenye uchaguzi 2010 kupitia kwa mataka.This is purerly commedian.
Du hayo mambo fomula yake aijua muumba.Tatizo la hawa kina dada wanafanya maamuzi kabla ya kujihakikishia kweli wamefika.Wanapomuona kijana anafananafanana ya takwa lao wanamua kujiingiza huku wakijua kesho watamuona mwingine na kuona kuwa anamfaa zaidi.Hasa hawa wa vyuoni.Anakuwa na boyfriend...
Huyu serukamba ni mtu hovyo kabisa,anajikomba sana kwa wenye uwezo wakati yeye katoka familia masikini.Ukiona anasifu kitu ujue anatafuta sifa hapo.Anadhani kuomba uongozi akiwa IFM ndo uwezo wa kutafakari hata mawazo ya zaidi ya watu 20,000 wa jimbo lake.Anachojua yeye ni ngono tu.Mkifuatilia...
Tatizo la mawaziri wa kikwete wamewekwa kishikaji hivyo wakichemsha hakuna wa kuwachukulia hatua.wote ni watoto wa mjini.fikiria mkulo alivyotemwa nssf kwa kashfa leo ndo waziri wa fedha,mataka na kashfa ya ppf sasa ndo mkurugenzi mkuu atc na wengine.hebu watanzania tumuulize kikwete hawa watu...
Lets be serious and realistic.Supose you were you.Jambo la kwanza ambalo ungelifanya kama ungekuwa President ni nini?tuache kudanganyana.Kubadilisha nyumba tu isitupe tabu.Isitoshe ukarabati wenyewe mnauona.Yale yafanywayo na wajomba zenu Wakurugenzi na Mawaziri kwa kificho mbona hamyasemei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.