Recent content by Servus

  1. S

    CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Ujuaji Wingi. Hizi ni presapossions tu. Kama ile uloandika October 25.
  2. S

    CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Tatizo watu tunachukua muda wetu binafsi wakuishi duniani na kuulinganisha na muda wote wa ulimwengu kana kwamba Kila kitu kinajipambanua Kwa Kwa mzunguko wa umri wako duniani wakati ni micro point tu. Ni makosa na uono dhaifu mno. Kama kitu kilizaliwa kitakufa tu. Nchi inazaliwa na kufa, lugha...
  3. S

    BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kwani TEC ni chama Cha siasa? Unayafahamu majukumu msingi ya mabaraza ya maaskofu katoliki yaliyopo duniani na namna yanavyoundwa? Msingi wa BAKWATA ni sawa na TEC mpaka ulinganishe?
  4. S

    Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

    Unatafsiri Kanisa kama nini,? Unaijua historia ya Kanisa? Unadhani mpaka leo ni kipi Kanisa halijapitia mpaka Karne hii mpaka libabaike toka Kwa papal state mpaka Vatican city unadhani Kuna kipya gani ndugu?
  5. S

    Wakenya: Serikali ya Tanzania imepoteza mabilioni ya pesa kwa watu kutokufanya kazi Julai 7, 2026

    Sema ni siku baadhi ya wafanyakazi wa umma kutoenda sehemu rasmi ya vituo vyao vya kazi na wanafunzi kutoendelea na vipindi lkn shughuli nyingine ziko palepale. We huoni tofauti hapo
  6. S

    Mazungumzo na msabato ni 60% percent kuhusu siku ya sabato na 40% ni kuhusu wakatoliki. Mind you haumjamuuliza chochote kuhusu sabato au wakatoliki

    Ukweli ni kitu gani Yesu alimwambia Pilato "alikuja ulimwenguni ili ashuhudie ukweli", ndipo Pilato akamwambia Ukweli ni kitu gani hakujibu. Tuambie wewe tafsiri ya ukweli, ukweli ni kitu gani? Maana Kristo ni mmoja ila madhehebu mbalimbali wote wanaangaika na hiyo tafsiri ya ukweli huku...
  7. S

    Mazungumzo na msabato ni 60% percent kuhusu siku ya sabato na 40% ni kuhusu wakatoliki. Mind you haumjamuuliza chochote kuhusu sabato au wakatoliki

    Yesu aliambiwa na Pilato ukweli ni kitu gani akakaa kimya. Haya wewe tuambie ukweli ni kitu gani?
  8. S

    Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

    Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile. Ok ukitoa...
  9. S

    Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

    Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
  10. S

    Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

    Umetumbukia mtoni Kwa mashindano ya kuogelea umepambana na dhoruba umechoka unatoka kwenye mashindano mara unataka mto ukauke mashindano yasiwepo tena kwani wewe na kizazi chako ndio kipimo Cha mashindano? Udhani hayo ni mawazo sawasawa au ubinafsi, au ni uvivu, au kukosefu wa upeo na maono tu?
Back
Top Bottom