Recent content by sepema

  1. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Walikutana na taarifa za ndoa yakwanza baada yakufatilia RITA
  2. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Pale Mke wa kwanza hana shida yoyote kwenye hili. Anaendelea na maisha yake na wala hasumbui kwa chchote
  3. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Mkuu mimi kulileta humu nikwasababu niliongea na wahusika na tukakubaliana kuwa nilikosea kutokuwa na talaka hivyo nitawajibika.Mwisho wa andiko langu nilishauri wenzangu wenye kesi kama yangu wajifunze. Sikutaka shortcut zaidi yakutekeleza maelekezo ya bima
  4. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Namimi kwa kuwa tayar nina mgonjwa sijataka mambo ya kesi. Niliwaelewa kwa hyo nasubiri wanipe utaratibu wa kurudisha hizo gharama ili maisha mengine yaendelee.
  5. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Umenisaidia.Mtu anaweza kujiuliza kwanin mke wa kwanza sikumkatia bima kipindi tunaishi.ukweli nikwamba mimi nayeye wote ni watumishi hvyo alijikatia mwenyewe
  6. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Naaam! Nakubali kuwa ndoa yakwanza nilitakiwa niivunje kwanza. Ubaya nikwamba tayar nipo nje ya muda kwenye hili
  7. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Wanataka hati ya talaka mkuu vinginevyo wanasema ndoa wanayoijua ni ie ya kwanza ambayo ni yamke mmoja
  8. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Nmimi niliwaambia mambo ya kuwa na ndoa mbili kanisa ndo lilitakiwa liniwajibishe ila nikaona mambo nimengi ngoja nikubaliane nao tu
  9. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Hapa sasa ni issue ya kupata usaidizi wa kisheria kwani bado nina jukumu lakumuuguza mke.Yanapokuja mambo ya mahakamani lazima niwe na uhakika wakushinda kesi
  10. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Sijatumia njia ya mkato mkuu. Hata yule afisa wa bima nilimuuliza kuwa kwanini cheti changu kilionesha wazi ni ndoa ya wake wengi ila hawakuniuliza kuhusu hilo? Wakakazia tu kuwa nina makosa
  11. sepema

    Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Tangazo niliweka na lilikaa siku zilizohitajika. Kwa kifupi hata yule mke wakwanza angeona tangazo asingeweka pingamizi kwani anamaisha yake sawa namimi tu. Narudia,kosa langu nikutokuwa na hati ya talaka kwenye mchakato wa maombi ya bima
Back
Top Bottom