Recent content by selemangrace346

  1. selemangrace346

    Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Muache Mwamba ajitafunie goma hilo buana.
  2. selemangrace346

    Kilimo Cha parachichi wilayani Rungwe

    Weka nyama kdgo ueleweke
  3. selemangrace346

    Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

    Binafsi bado na struggle..But ombi langu kwa Mungu upate hitaji la moyo wako kwa maana umeamua kuwa mkweli
  4. selemangrace346

    Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Kaa kwa kutulia watu tupate Nondo ...watu wana madini.
  5. selemangrace346

    Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
  6. selemangrace346

    Gen. Kainerugaba: Uganda ipo tayari kutuma askari kuisaidia Israel

    Jeshi la uganda ni dhaifu sana..watapigwa kama ngoma
  7. selemangrace346

    Tukiacha na unafiki Paul Kagame ni mzalendo wa nchi yake. Tanzania anayeingia madarakani anawaza kujinufaisha

    Yan kwa jinsi nchi hii ilivobarikiwa kwa rasilimali mfano bahari,mbuga za wanyama,madini n.k..ki maendeleo tulipaswa tuwe mbali sana na wananchi hatukupaswa kabisa kubebesha mamizigo ya kodi namna hii na mitozo ya kila rangi...tumekosa viongozi wazalendo
Back
Top Bottom