Kila wakati ninakua mbali kihisia/mawazo kwamba mimi ni mtu flani nko vzrii, mara chache sana nakubaliana na hali niliyonayo sasa..
Badala nifocus na nifanye nini nijikwamue kutoka hapa. Akili zinaniletea uhusika ambao sio wangu na ninaanza kuufikiria kanakwamba nikweli yani naboeka sana
Sukukataa kwa ubaya. Nilimueleza kuwa siwez kula nikiwa nasafiri tumbo alikostable..
Yeye alikua anasisitizia kuwa amepika yeye na zimekauka vzuri azitaleta shida.
Itani cost nini? Mbona akuna ubaya wowote hata ukikataa kwa kavu kavu
Nilikaa na mmama alikua amepika homu akafunga ili ale kwenye gari, ile tumeanza safari tu, akaanza kufungua mavitu na akawa ananilazimisha na mimi nile.
Nilikataa ila alisisitiza mno mwisho wa siku et akatoa 5000 ananipa ananiambia ntanunua maji ninywe maana nimekataa chakula.
Uku wako wakalamba tu, kama mtu amejua simu akaanza na tiktok, IG na Fb kumvuta huku ni ngumu.
Huku wengi tumepajua kwakuwa tukua amna hizo AI maana ulikua ukigoogle kitu kwa kiswahili unaletwa kwenye uzi wa jf
Habari!
Nina miaka 32, niko Arusha jinsia kiume, elimu degree, natafta kazi yakuniweka mjini.
Kazi niliyokua nikiitegemea kwasasa nimeacha kwakua inanletea matatizo ya macho.
Natanguliza shukran zangu kwa wote ntakao guswa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.