Recent content by segunda

  1. S

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Edward Ngoyai Lowassa
  2. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    nakubaliana na mtoa mada majengo mengi moshi mjini ni ya zamani ila kuhusu barabara chache za lami hiyo siyo kweli maana moshi ina barabara nyingi za lami mpaka vijijini.
  3. S

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Mimi binafsi sijawahi kuchangia kwenye huu uzi ila nimeusoma kwa umaakini kwa lengo la kupata elimu kuhusu uhuru wa nchi yetu. Mengi yaliyoelezwa kuhusu TAA na TANU ni kweli kuwa waislamu wamechangia saana na kwa kuwa harakati zote zilikua Dar es salaam siyo jambo la kushangaza kuona wajumbe...
  4. S

    Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Kinunda kanifundisha pia Adv Math pale majengo second.. Mitiani yake ilikua haisogei halafu akiwa anapiga pindi anawapa swali moja ambalo haliendi halafu anaenda nje kwanza kupiga fegi
  5. S

    Msaada wa material ya project management

    Asanteni wote kwa kunipa mwongozo mzuri kwenye kupata material hayo
  6. S

    Msaada wa material ya project management

    Asante mkuu ntakutumia email ili niweze kupata
  7. S

    Msaada wa material ya project management

    Kwa yeyote mwenye material ya project management yenye topic zifuatazo anisaidie 1.STRATEGIC HUMAN RESOURSE 2.PROJECT PROCESS,PLANNING& CONTROL 3.PROJECT SUSTAINABILITY ,MONITORING& EVALUATION 4.PROJECT PROCUREMENT & CONTRACTING 5.PROJECT QUALITY MANAGENENT 6.MANAGING SUCCESSFUL...
  8. S

    IFM the best place to be...Wale mliochaguliwa IFM someni hapa.

    umesahau IFM ndo chuo pekee kuna kuREPEAT A YEAR ukishindwa kusapua CORE subject so 1st year be careful
  9. S

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Kama rwanda na uganda wanaendesha serikali zao bila mapato ya bandari.. kwann tz tuogope kuishi bila wao??
  10. S

    TIB Development Bank; Nini kirefu cha TIB?

    hiyo ni jina lingine na TIB Development bank limited na sasa ivi hiyo TIB haina kirefu tena ila inaonesha bank ilipotokea the same to 'CRDB bank plc' nayo haina kirefu kwa sasa toka bank ilipotoka kwenye cooperative bank na kuwa commercial bank!!!
  11. S

    Waheshimiwa Dr. Pombe Magufuli na Dr. Cyril Chami

    Hiyo barabara nmepita siku si nyingi hata mimi mwenyewe nilishangaa sanaa hiyo lami lakini nasikia wengine wanasema ndo layer ya kwanza bado kuna nyingine kwa hiyo tusubiri tuone.. Na chakushangaza deadline imekaribia kufika..
  12. S

    Je kuna mkopo ktk benki dhamana ya gari?

    mi kwa uelewa wangu kwa bank huwa dhamana ni mali isiyohamishika ndio inaweza kutumika.. Ila dhamana ya gari inaweza kutumika kweny microfinance institution kama saccos coz lengo lake ni kusaidia watu wa chini ambao hawana uwezo wa kumudu dhamana za bank.. Na huko kinachotakiwa ni blue card...
  13. S

    Nimegunduwaa..!!

    nmegundua hii thread inatoa wagunduzi wengi..
  14. S

    hello

    hello wana JF
Back
Top Bottom