Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala la vikundi saba vya Manispaa ya Lindi ambavyo havijapokea fedha za mikopo ya vikundi, licha ya kuidhinishwa miongoni mwa vikundi 41 vilivyotajwa kunufaika katika awamu hii.
Hafla ya utoaji wa mikopo hiyo ilifanyika Septemba 1, 2026, ambapo sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.