Recent content by Sauti ya Siha

  1. Sauti ya Siha

    Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Mkuu usiwe bongo lala hapo hajitetei anahutubia taifa na dunia kijanja hiyo ndio siasa kama ulikuwa hujui.hapo sasa tunajua Mh Lissu ni nanii kwenye hili taifa
  2. Sauti ya Siha

    BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kama ww hujui ukubwa wa TEC wewe bado ni mdogo kiumri au ulichelewa kuifungua dunia
  3. Sauti ya Siha

    Baadhi ya Walokole ni kero kwenye nyumba za kupanga, wanapiga makelele sana. Ni janga kwa Taifa

    Mlokole na mvuta bangi ni kitu kimoja.MLOKOLE ni mlevi wa imani.
  4. Sauti ya Siha

    Pendekezo: Hamidu Mwanga avuliwe Ujaji wa Mahakama Kuu

    Tumeni hata picha yake sisi hatumjui
  5. Sauti ya Siha

    Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Ni ukweli kabisa,Urais kama taasisi umeonyesha kutokujali mauwaji yaliyotokea okt 29 .Ila Uraisi kama ubinadamu yale Mauaji ni kitu kinachomuuma sana Mama samia ni watu hawajui tu.Yeye kama binadamu ni kitu hata kaa asahau maisha yake yote.inamuumiza sanaaaa
  6. Sauti ya Siha

    Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

    Nilipita mahali wakawa wananiambia una uboo mrefu!!!he! Nikajiuliza wameuona wapi? Mdada wa kazi wa nyumba ile akaja kuniambia kuna siku nilikojoa enjoy hilo wakaniona kwenye kamera zaa thithitiviii.Serikali iko sahihi kweli
  7. Sauti ya Siha

    Salum Mwalimu na Moza Ally wa CHAUMMA wamepata ajali ya gari

    Kila mtu aliyeshiriki dhambi ya okt 29 atalipia kwa namna yake...huyu ilitakiwa afe kabisa mbwa
  8. Sauti ya Siha

    Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Ndio maana nakuambia we umekulia mtaani na malezi yote ni ya.kimtaani?
  9. Sauti ya Siha

    Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Ukiwa chawa huwezi kuona elimu ya F.KITIMA Lakini ukiwa smart kichwani Kitima ni bonge la msomi,na hoja zake zimejaa madini leo wewe bila CCM unakukufa mbwa wewe
Back
Top Bottom