Recent content by satoshi mpelekamoto

  1. S

    Nipo Iringa natafuta laptop ya kununua Iwe SSD processor angalau 2.4, bajeti 250,000

    Usiombe mteja kama huyu aje dukani kwako 😂😂😂
  2. S

    Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

    We ndoal umeongea Fact mzee.... body count huwez ijua kamwe kama hujamkuta bikra 😅😅😅 na shida ndio ipo hapooo sasa manzi amekazwa na wahuni kibao huyo huwez kudumu nae psychologically hawez kubond na wewe Shida waliooa mitumba wataJAM hpo 😅😅😅
  3. S

    kuna gari ya petrol isiyo hybrid inatoboa zaidi ya lita moja kwa KM 12 kwa mizunguko ya kawaida ?

    Vitz 2014 1.3L naona imekaa mkao sana spidi nzuri na inajimudu hata ukiwa na safari unachomoka ila kama unataka ya kunusa mafuta kabisa basi 1.0L vitz hii uwakika inaenda above 18km/L ila tu usiwe mtu wa masafa ya mikoani itakufelisha
  4. S

    Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    Siku yenu ikifika hata wengine wakibaki nyumbani kifo kitawafikia
  5. S

    Kati ya Mitsubishi outlander roadest 2010 na subaru forester 2009/10 ipi nzuri zaidi???

    Wakuuu na wadau wa magarii kati ya outlander roadest 2010 na subaru forester ya 2009/10 ipi unashauri ninunue kwa matumizi ya safari ndefu na yenye uhakika wa kusafiri rough roads bila kuleta shida ya kuharibika kirahisi na pia 1. upande wa durability ipi inahimili mikimiki zaidi 2. bila...
  6. S

    Kama unauza piki piki

    0624081146 jamaa anaitwa Mo mwarabuu kahnyoka sana mcheki anazo hizo model tofauti tofauti
  7. S

    Tetesi: Maandamano makubwa kufanyika Oktoba 29 kuwakumbuka waliouwawa mwaka jana

    Lkn pia kumbuka wizi huo bado hauna ushaidi wa kutosha kiasi kwamba hata sasa hivi huwezi kusema unawafungulia kesi na kesi nyingi zitabakia kuwa story ila matukio ya waandamaji yana ushahidi wa wazi hapo ndo iasue inalokuja mzee
Back
Top Bottom