Recent content by Sangizi

  1. Sangizi

    PostGE2025 CHADEMA hawataki mazungumzo, wana njia gani ya kushinikiza Dola kumuachia Lissu?

    Mkuu mbona kama unaumia sana na misimamo ya Lissu? Karudia zaidi ya mara 5 katika hizo kesi kasema hataki kuonewa huruma, toka lini makada wa CCM mkawa na huruma na mtu wa Chadema? Siasa za kibongo zina vichekesho sana.
  2. Sangizi

    Ndege ya Ethiopian airline yazuiwa kutua Ben-Gurio, Israel

    Unasema ndani ya Israel kuna Waarabu Waislamu chungu nzima hapo hapo unasema Inchi yenyewe inanuka Ushoga na Usodoma, pitia kwanza unachoandika kabla hujakituma sio kwa ubaya mkuu
  3. Sangizi

    Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

    Hauko sahihi mkuu hata kwa logic ya kawaida tu haimake sense
  4. Sangizi

    Habarini watazaniaaa

    Vipi bado una beef na T. Touch?
  5. Sangizi

    Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

    Acha kutupanga mkuu, wanatoa maelekezo kwa wizara zinazowahusu tu, kwahiyo mfano mama Gwajima akatoe maelekezo kuhusu mambo ya wizara ya fedha?
  6. Sangizi

    Ndege ya Ethiopian airline yazuiwa kutua Ben-Gurio, Israel

    Watu wako busy na makini na nchi yao wewe unasema waoga. Habari inasema kulitokea jaribio la kutekwa kabla, wewe unawaita waoga
  7. Sangizi

    Mwigulu Lameck Nchemba nae mmeanza kumuundia zengwe?

    Duh, mkuu hii picha na umeisave kabisa kwenye simu yako?
  8. Sangizi

    Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

    Usupastaa mzigo wa miba, ukiubeba unaumia - Fid Q
  9. Sangizi

    Saa 6 mchana kinachoendelea mahakama kuu ya Dar es Salaam muda huu

    Ila bongo ina vichekesho sana aisee 😃
  10. Sangizi

    Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

    Kiukweli wasiende tu, hio aibu watakavyodhalilika sijui itakuaje
  11. Sangizi

    Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Jichanganye, ataletewa demu atapagawa watafubaza mali zote mtabaki kulaumiana tu. Ngozi zetu hizi ni bahati nasibu kwenye mambo haya
  12. Sangizi

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Hii nchi imefikia pagumu sana
Back
Top Bottom