Recent content by sanga jr

  1. S

    Vifaa Vya Ujenzi

    Wanajamvini... nahitaji kupata building material za finishing kama mabomba na vifaa vya umeme. Mafundi wote wamenipa list ya vifaa.. naomba mwenye contacts za hardware wanaouza vitu bei nzuri. Site ipo goba. Msaada tutani tafadhali
  2. S

    GPS Katika Simu

    habari zenu jamani? Mimi natumia simu ya nokia E61i, iliyowezeshwa GPS ndani yake. Ila kwenye matumizi inanipa tabu tupu. Kila nikijaribu kutumia inasema GPS not available. Nimekua nikijiuliza maswali yasiyokua na majibu, Je simu yangu ni mbovu au kuna semu zakufanya marekebisho sehemu kabla ya...
Back
Top Bottom