Recent content by samoz

  1. S

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    hiyo ndio brainchild ya CCM ideologies
  2. S

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Huu uharaka unaonyesha kuna ukweli ..simple psychology..twende kwenye uchaguzi upyaaaaaaaaaaaaaa...patamu sana hapo
  3. S

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Niko kwenye industry ya utalii sikujua kama Lema alikua kikwazo ..daah kweli maendeleo yatakua kazi kama ndio mawazo ya NAPE ambaye huko CCM ndio kichwa chao ..wammbie wakasome uchumi na Arusha haitegemei CCM iwaletee maendeleo ..
  4. S

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    CCM wamechemsha kesi sawa Lema ameenguliwa ..najaribu kutafakari mfumo wa siasa na teuzi za kada mbalimbali wakiwamo majaji na ni jinsi gani walivyo mashabiki wa CCM ..majaji wote huteuliwa na raisi na raisi ni mwenyekiti wa CCM ambayo wanachama wake wamefungua kesi kupinga matokeo ya ubunge ya...
  5. S

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    Kinana itakua poa sana ,maaana atashindwa kirahisi sana ..hazina ya CDM ni vijana ..vijana hatutaki historia za fulani alifanya hivi ..tuambie utatufanyia nini na tukikuangalia machoni tuamini maneno yako kua hutudanganyi(Mwl).. Kijana au mtu mjanja kua mwanachama na shabiki wa CCM ni kutosoma...
  6. S

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Lema najua anakubalika lakini kichama lazima kutakua na mchakato ndio maana hasa ya demokrasia ..Ikiwa kama bado wanachama wapiga kura wana imani naye hilo ndilo la muhimu ..lakini pia kama kuna mtu mwingine mwenye mawazo mapya ndani ya chama akaonekana kua na sera nzuri na vision zaidi yake...
  7. S

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hata magamba wamekubali ,katika wall ya facebook ya nape ameanza kujipa moyo .eti asiyekubali kushindwa...
  8. S

    GE2010 Majirani zetu, kenya,uganda,zambia,rwanda,burundi,sudan,malawi tayari !!!!!!!!!!!!

    Hakuna haja kumwaga damu na anayeombea hatutakii mema...tuwaelimkishe watu ,wakupe kura ufanye mabadiliko !
  9. S

    Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

    Nadhani hamna data ,Masha ni mpiga debe wa bana nkubwa tangu akiwa foreign ,maana alikua anamuunganishia pipe za ukweli na jamaa anaenda kubandua mamtoni .hawa ni ma best sana ...hata huyo mkuu wa Uhasama wa nchi pia ni mtu wake sana ,kipindi yuko UK tulikua tunamuona sana wanakula bata wote...
  10. S

    GE2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    huwawezi CCM wana matambo wewe! hii yote ni shauri ya babu Mwalimu JK ....alijenga mfumo tata wa kulinda chama ,kiwe ni kama serikali ! kila mtu anaogopa serikali isiyo ya CCM ..wakitishiana kua itavuruga nchi ..maana CCM ndio nchi ya Ahadi !
  11. S

    GE2010 kikwete kuapishwa tar 6/11/2010

    slaa anadai kaibiwa kura ,sawa lakini je katika nchi kama Tanzania au UGANDA Kuna loop holes nyingi za kushinda chama kilicho madarakani. Hatujakua kidemokrasia kama vile nchi za wenzetu ....unadhani museveni anaweza shindwa uchaguzi wowote?hata kama hapendwi?? kikwete anapendwa sababu...
  12. S

    GE2010 kikwete kuapishwa tar 6/11/2010

    watu washaanza maandalizi ,Tanzania bila zengwe haiwezekani
  13. S

    GE2010 kikwete kuapishwa tar 6/11/2010

    Habari ndio hiyo ,tutabaki kulalamika tu humu katika forum .
  14. S

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Hii Idara ya usalama wa taifa ,haina kazi zaidi ya kujipendekeza kwa serikali iliyo madarakani ....unafiki nna uzandiki .hii ni idara inayosaidia utawala ...wizi wa kizamani !kudanganya watu ! hawajiamini ndio maaana wana wasiwasi na serikali nyoyote mpya sababu hawafanyi kazi kama taaluma...
Back
Top Bottom