Huu uholela holela mimi kama fundi ujenzi unanikera sana, Msiombe siku nije kuwa kiongozi kuna watu watalimia meno haki, Tunawakosesha raha wastaarabu wengi kwa kuendekeza ujinga mchache
Mimi ni fundi ujenzi, Lakini nashangaa sana baadhi ya mabosi sijui tatizo ni nini?
Wakati wa ujenzi wa fensi unamshauri vizuri kabisa bosi huku mbele tuache mita moja kama una mpango wa kuweka garden!
Yeye anakwambia jenga kwenye bikoni umalize sina mpango wa garden!
Halafu baada ya Mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.