Recent content by Sakijoli

  1. Sakijoli

    Opportunity for you to trade in Dubai

    Incredible, Mimi ni Country Representative na kwa maelezo zaidi contact me kama nilivyosema. ila Fuatilia details hizi hapa West Asia Management Consulting House - Dubai Office # 4, 1st Floor, Sheikh Latifa Building| P.O. Box: 51719, Dubai UAE Tel: (+971 4) 353 5761 | Fax: (+971 4) 3532507 |...
  2. Sakijoli

    Opportunity for you to trade in Dubai

    kaka hii itakusaidia kama unataka kuwa serious... West Asia Management Consulting House - Dubai Office # 4, 1st Floor, Sheikh Latifa Building| P.O. Box: 51719, Dubai UAE Tel: (+971 4) 353 5761 | Fax: (+971 4) 3532507 | info@wamch.ae | www.wamch.ae
  3. Sakijoli

    Opportunity for you to trade in Dubai

    Are you the Businessman? Have you ever trade in Dubai? Do you Import Electronics, Textile, Food Stuff e.t.c from Abroad? if yes then this is the biggest Opportunity for you to expand yourself by Trading in Dubai. Am the Country Representative of the Biggest Commercial Company in Dubai ( West...
  4. Sakijoli

    Tabiri matukio magumu kutokea world cup 2014

    Wadau embu fungueni hii Attachment hapa uweze kujionea jinsi matokeo yatakavyo kuwa kuanzia makundi, Round ya pili, robo fainali, nusu fainali na FINAL. hapa ndo utajua timu gani zitakatiza na zipi zitafika mwisho wa safari
  5. Sakijoli

    Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

    Hivi kwani jamaa si kama vipi ataweza kujiendeleza kidogo kidogo umri unaruhusu..
  6. Sakijoli

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Mimi sio Sheikh Yahaya ila naona kama 2015 kutakuwa na CCM KIJANI na CCM NJANO pamoja na CHADEMA HURU na CHADEMA ASILIA. Ni mtazamo tu masela msijenge chuku....
  7. Sakijoli

    Ushuru wa magari kutoka Zanzibar kwenda Bara umeongezwa maradufu

    Hii haijakaa vyema kabisa.. na si suala la kulichukulia poa.
  8. Sakijoli

    Sijui kama unajua au hujui kuwa sensa imefeli

    Sensa hii aisee magumashi kibao, mtaani kwetu jamaa wamekuja j2 tu hawajatokea tena, nikachukua hatua za kwenda kwa Mjumbe nikareport ili nihasabiwe nikaambiwa nitapigiwa simu. Office za serikali za mtaa nao wananiambia nisiwe na wasi nitulie nyumbani wanakuaja. Sasa sijui niende makao makuu...
  9. Sakijoli

    Joseph Mbilinyi anavochemka!

    Jamani hii lugha ilikuja na meli, au mmesahau? so tuvumiliane tu..
  10. Sakijoli

    Prof. Sospeter Muhongo's latest CV

    Du huyu jamaa kumbe sio Jembe tu ni Shoka....
  11. Sakijoli

    Picha hii inakukumbusha nini?

    Jamaa walibahatika utandawazi ulikuwa haujaanziswa...
  12. Sakijoli

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tu....
  13. Sakijoli

    Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    JAMANI NAOMBENI MAJINA YA HAWA 1) Meneja wa Jeti 2)Meneja wa Oil terminal 3)Meneja wa Mafuta ya ndege kurasini
  14. Sakijoli

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Aisee safi sana hizi ndo fikra pevu.. Thanks Bikra wa ukweli...
  15. Sakijoli

    Harakati za Chadema na mbinu za kuchukuwa dola

    Duh ndo nafumbuka macho hapa jamvini....
Back
Top Bottom