Huyu anayeonekana kwenye picha, ndiye huyo mjomba anayesimuliwa kufia 'guest'?
Hili lakufia kwenye kinena 'gest' lichukuliwe kama red indicator kwa wachepukaji wote wakiopo kwenye ndia zao!
Maana sasa toomuch kufia gest!
Nanyi mnayakuza sana mambo madogo madogo ambayo ni private za watu!
Hivi 'kumtokea' mwanamke ni kosa?
Je mwanamke 'kupangua hoja' za mtongozaji ni ushindi au ni kosa?
Nijuavyo mimi kutongozana hakujawa kosa kisheria na ndiyo maana hakuna kanuni inayoongoza wa kuchagua/kuacha kutongoza, bali...
Vitu vingine gani raia wanamsingizia?
Asingelikuwa anahusika kwa namna moja ama nyingine, lazima wanaopotezwa wangekuwa wanapatikana kama hivi huyo dvr alivyopatikana.
Labda nikuhakikishie tu mkuu ni kwamba, mauaji ama utekaji unaofanywa na raia(layman) 99%, wahusika hudakwa haraka sana kwa...
Ninachoweza sema ni kwamba, wacha tuheshimu uzoefu wake ambao.
Maana yake ni kwamba, huyu mtu kaja kivingine!
Mi tangu nizaliwe sijawahi kujimasterbet, sasa ye keshafanya na ana uzoefu tena ngazi ya exposure!
Nipende kukiri kwamba, mimi ni 'mamuma' wa mambo'ayo waalahi!
Lakini...
Kwa hiyo unapingana na baiolojia siyo?
Kupenda mwanamke na kulala naye siyo takwa lako ni takwa la kibaiolojia ujue!
Maelezo yako yote uliyoyatoa hapa ni ya utetezi wa unyanyapaa.
Na unyanyapaa ni ugonjwa wa akili unaohitaji tiba.
Lakini tusiongee mengi, maana nimekumbuka mdogo wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.