Recent content by Sajo

  1. Sajo

    Kwanini walokole huishabikia Israel?

    ICC, UN au wengine hawachukui hatua yoyote dhidi ya Israel kwa 'uonevu' anaofanya. Hii tu inatosha kueleza jinsi hilo Taifa lisivyo la kawaida
  2. Sajo

    Mchungaji Kanisa la KKKT amwaga pombe kwenye sherehe ya Kipaimara ya mtoto wa muumini wake huko Njombe

    Umeanza kuongea kama Katuga mahakamani, divai kwa kiingereza inaitwa wine. Sasa swali lako sijui lina maana gani. Soma Bible imetofautisha pombe na divai. Kumb 14:26 Kumbukumbu la Torati 14:26 BHN [26] mzitumie hizo fedha kwa chochote kile mtakachopenda – nyama ya ng'ombe, nyama ya kondoo...
  3. Sajo

    Mchungaji Kanisa la KKKT amwaga pombe kwenye sherehe ya Kipaimara ya mtoto wa muumini wake huko Njombe

    Ila divai ni tofauti na kileo. Divai ni sofr drink
  4. Sajo

    Court removes Bugweri Woman MP Stella Nankwanga over academic papers, declares runner-up winner

    Tuna wabunge kina Baba Levo wanahoji maafisa mapato (TRA) wakiwa kazini, halafu baadae wanasema sikuwa nafahamu sheria inasemaje.. tuna kina Musukuma Kasheku, tuna kina Deo Sanga, hawajui kusoma wala kuandika ila ni matajiri, wanaletewa mkataba wa Bandari kati ya Serikali na DP World, ni wa siri...
  5. Sajo

    Mchungaji Kanisa la KKKT amwaga pombe kwenye sherehe ya Kipaimara ya mtoto wa muumini wake huko Njombe

    Mchungaji asome Biblia vyema, asibishane na maelekezo ya Mungu. Kum 14:25-27 SUV [25] ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; [26] na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo...
  6. Sajo

    PostGE2025 CHADEMA hawataki mazungumzo, wana njia gani ya kushinikiza Dola kumuachia Lissu?

    Katiba yetu hii chakavu, pamoja na sifa nyingine, inampa mtu haki ya kugombea nafasi ya Urais ikiwa katika kipindi cha miaka mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu hajawahi kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali. Uchochezi halihusiani na ukwepaji...
  7. Sajo

    PostGE2025 CHADEMA hawataki mazungumzo, wana njia gani ya kushinikiza Dola kumuachia Lissu?

    Miaka 4 ni sawa na miezi 48. Ukiingia tu jela, Magereza wanakupunguzia ⅓ ya kifungo chako. Kwa hiyo miezi 48 x ⅓ = Miezi 16 Miezi 48 - Miezi 16 = Inabaki miezi 32 Kifungo kinajumuisha muda wote ambao mfungwa alikuwa mahabusu, kwa hiyo kutoka Aprili 2025 mpaka Novemba 2026, Lissu amekaa...
  8. Sajo

    Maumivu makali sana sitakuja kupuuza dokezo! Tunakuja kivingine, Lissu ni mshindi

    Yaani unakataa shilingi bilioni 10 uliyopewa ili uombe msamaha, halafu unataka ushindi ili uje kuomba fidia ya shilingi bilioni 10 ambapo utapaswa kuthibitisha na mahakama inaweza kukupa fedha yoyote hata chini ya bilioni 2. Wewe unakua ni juha kabisa.
  9. Sajo

    Tumia App ya Infinity Pesa Tracker Kufuatilia Matumizi yako

    Nimedownload financial tracker, nitakupa mrejesho
  10. Sajo

    Naomba support yenu kidogo – Nimekuwa nikitengeneza platform ya kidigitali, nahitaji watu wa kuijaribu na kunipa maoni

    Mmuu, usajili unqchukua kuda mrefu sana na taarifa nyingi binafsi, ungeweka options za kuregister kwa gmail au facebook.
  11. Sajo

    Je, huenda kusiwe na muendelezo tena wa games za call of duty modern warfare?

    Nimekusoma mkuu, tutapeana shule hapa kuhusu gaming pc, prices, specifications nk
  12. Sajo

    Je, huenda kusiwe na muendelezo tena wa games za call of duty modern warfare?

    Nilikuwa naplan kununua PS, ila nimeona Gaming PC kama ni bora zaidi maana ina magames mengi kwa urahisi. Ninapoona mawazo kama yako nafikiri nitakuwa nipp sahihi. Ingawa naonaga Chief-Mkwawa huwa anaelezea kama kutengeneza pc gaming ni gharama nafuu kuliko kununua mpya iliyo complete.
  13. Sajo

    HOJA Kwa hii foleni inayoendelea Kimara Mwisho, Je tumekubali kama taifa hatuna akili hata moja??

    Ila ajabu ni kuwa kabla ya huu ujenzi usioleweka unaoendelea, hakukua na foleni hapa. Sijui foleni imekuja sababu gani aisee!! Nipo korogwe resort hapa muda huu
Back
Top Bottom