Recent content by Said_12

  1. Said_12

    Wanafunzi wengi wemekua na tabia mbaya

    TUFANYE NINI KUREJESHA NIDHAMU SHULENI? Siku hizi kumekuwa na changamoto kubwa ya tabia za wanafunzi mashuleni. Baadhi hawaheshimu walimu, wanatoroka vipindi, hawafanyi mitihani, wanatumia lugha chafu na wengine wamekuwa wagumu kufuata maelekezo. Swali ni: Tatizo liko kwa wazazi, walimu...
  2. Said_12

    Embu Taja Vyakula Vinavyostahili Kuitwa Vyakula vya Taifa.

    Wali ,Mchele, mpunga almaharufu kama ubwabwa
  3. Said_12

    Hivi ni kwanini baadhi ya Waafrika wana akili ndogo sana?

    hata baadhi ya wazungu pia wana akili ndogo sana
  4. Said_12

    kuzaa sio kazi,kazi ni kulea!

    Nagongelea msumari baba ni yule anaejuwa majukumu yake
  5. Said_12

    CHIONDA ANASEMA HIVI(NANUKUU)

    Jifunze kuelewa wcha kuwa mpinzani utabaki kuwa kichwa kigumu ndugu yangu
  6. Said_12

    Wanafunzi wasichapwe, serikali mnafikiria nini

    Tutawachapa mpaka waelewe wapo kwenye dunia wanatakiwa kujitambua
  7. Said_12

    CHIONDA ANASEMA HIVI(NANUKUU)

    Dini ni kitu cha thamani kwa mwanadamu kuwahi kutokea , chionda na watu mfano wake bado wana maarifa duni
Back
Top Bottom