Recent content by SAI-ELECTRICIAN

  1. SAI-ELECTRICIAN

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Mtoa mada tunashukuru, lkn wewe uliisaidia Nini serikari ya awamu yatano ili isitende Yale unayoyaita kasolo ambavyo TEC haikuwajibika kwayo? Na pia umeishauli Nini hii yasasa kwa dosari zinazolalamikiwa,ambapo TEC kama taasisi imetoa mchangowale na si msimamo wakugawa wananchi kama inavotaka...
  2. SAI-ELECTRICIAN

    China yasamehe mikopo 23 ya nchi 17 za Afrika

    Mchona anaakili sana, analina nakujenga masokoyake Afrika, kwakufanya hivi anazidi kuuza bidhaa(kujenga soko lauhakika la ndani nchimwake) na kujiwekea ngome yakibiashara Afrika
  3. SAI-ELECTRICIAN

    Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Mungu azidi kukujaalia Hekima na Busara mh Waziri
Back
Top Bottom