The situation is you have to be in to understand is soo confusing depend on the divorse base.The bottom line is wakinadada wanakuwa na emmotion zaidi when you come to divorse.Is very important wakati devorse inapotokea kupata ushauri wenye hekima otherwise watoto wasio na hatia ndio watakuwa...
Sioni kufaidika kokote na haya malumbano ya hawa wakubwa bado tatizo liko palepale kwa sisi waafrica ni katika kujiongoza haya ya EPA,UFISADI,Rostam,Mengi na yoote haya,Pamoja na elimu tunayoipata hapa,sisi watanzania ama waafrica tuna tatizo kubwa sana na hatuna hatua za msingi tulizopiga tokea...
Waungwana this is so sad is unexpected to our society and shame to our culture.We allow western influence to our society.About a month ago nilitextiwa picha ya President Obama inayofananafanana na hiyo and I was so sad and now am seeing this kind of behavior in my own society.I can only express...
Nyie watu hamuwezi kuishi bila kumtaja huyu mzee Everytime you guys mention his name I am geting stomach virus.The simple fact is nyerere screw us up let's face it.
SAHIBA.
Ni hatari aibu na fedheha kwa jamii ya mtanzania inayoendelea kumtukuza na kumsifu mtu aliyejenga foundation iliyoendelea kuisulubu nchi hadi hii leo.Ccm wakati ule ilijengwa kwa misingi ya udikteta,ugaidi,umafia na upelelezi wa ndani kwa ndani kwa kila mwanadamu mwenye mawazo tofauti na ya mzee...
Mkuu waberoya sina hakika una umri gani lakini hilo swali lako lina utata ikiwa watu wanafarikiana na mama na familia zao ambao wamelelewa na wakakulia nyumba moja tokea utotoni itakuwa wawili waliolelewa malezi tofauti ajabu kutoelewana ?Mara nyingi mwanadamu anapoamua kuoa hafanyi majaribio...
Is really mifarakano wakati wazazi wawili wanapotengana huku ughaibuni hasa wazazi hao wakiwa wametokea katika background zinazotofautiana.mifarakano zaidi even inatokea pale wahusika wanaposhindwa kuelewana katika basic things in regsrds to those children.ama mzazi mmoja anapohakikisha...
BAK
Hawa jamaa haina haja hata ya kuwajibu na hawa ndio wale unaowaona humu JF ambao angalau wanaweza kumiliki ama kutumia hizo iternet za makazini na wakirudi majumbani hadi umeme akadiriwe na Tanesco.Tatizo sisi huku hasa hizo habari za mafisadi ndio zinatuchefua kabisa hatujui kama...
I can understand hapa kila mmoja anayatazama maisha kinamna yake lakini kuwa na maisha yenye mwelekeo marekani sio lazima uwe educated.Kuna kazi nyingi tu Marekani ambazo hazihitaji hiyo elimu mnayoizungumzia nyinyi zinahitaji maarifa na uhard work wako.Kuna watu wanaingiza six figure na...
Sasa Mwinyi utamjadili nini zaidi ya kumuombea maaisha marefu.Labda kama kuna vijana wasiokumbuka wakati wa utawala wa Nyerere lakini sisi tulioonja joto ya jiwe ya Nyenyere we will always thank Mzee ruksa labda kwa wale wasio na haya na wenye agenda zao binafsi.Hili halihitaji dini ama kabila...
Baadhi yenu hapa mnayafanya maneno ya nyerere kama yametoka kwenye Biblia ama Quran analosema mnaliunga mkono hata makosa mnayasupport mmeona ama mmesikia wapi binadamu anarekebisha makosa yake kwa kuyasupport.Kila kukicha mnaturudisha kwenya siasa zilizopitwa na wakati.Fikra...
Kwani Nyerere ndio nani babu si ndio yeye alituwekea Fisadi Mkapa ? sina maana ya kukubaliana na wewe kwa lowasa na kama lowasa akichaguliwa kwanza sisi wa ughaibuni huku haturudi tena minazi mirefu na pili civil war itakuwa njiani Tanzania.
SAHIBA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.