Wasingethubutu hata kuinua hata mguu. Approach ya Mh.Rais Dr. Samiah Suluhu Hassan kupenda maridhiano wao wametafsiri kuwa ni kiongozi dhaifu kumbe ni kiongozi muungwana anayependa utawala bora na wa Sheria.
Sasa hivi kumekuwa na tabia ya ovyo sana hasa kwa wanasheria wanaharakati ambao hulalamikia mwenendo na taratibu na wakati hata maamuzi ya mahakama wakati wanafahamu taratibu za kufanya endapo hujaridhika na maamuzi ya mahakama.
Unapata mashaka juu ya uhalali wa msomi(a learned brother) kuwa...
Msukumo wa mahitaji ya katiba mpya hasa unatoka wapi?! Kwa wananchi wa kawaida (common people) au wanasiasa?! Ni vema msukumo ukatokana na wananchi wa kawaida kwa kutazingatiwa zaidi maslahi ya umma au ya nchi.
Endapo msukumo kama utatokana na wanasiasa maslahi yatakuwa ni kutafuta milango...
Wakati fulani unaweza ukajua nini cha kufanya lakini usifahamu namna ya kufanya ili uweze kufanikisha malengo uliyokusudia.
Ni wakati kuzingatia ushauri wa watu mbali mbali Ili UWE na maarifa mapana katika utekelezaji wa malengo.
Kama mh.Tundu Lisu angezingatia ushauri wa mwanahabari nguli...
Lindi imejengwa nyumba za ghorofa miaka ya 1920 ....na kuendelea na wafanyabiashara wa kiasia(wahindi). Dhahiri kuwa katika mji ambao una uchumi duni huwezi kujengwa nyumba za ghorofa.Lindi ilikuwa inapokea meli kutoka mojo kwa moja Ulaya na Asia kuleta bidhaa na kubeba mazao kutoka Lindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.