Dahhhh bora hata ule rejected destination organisation mapema unarudi kujipanga,ila ikienda utumishi ikae miezi miwili hadi mitatu halafu ukutane na rejected kwa kweli inauma.
Mhhhhh huyo atakuwa anawawekea comment ngumu msitoke(kuwasagia kunguni kwa kuwa hamna access ya kuona comments),nyinyi kwa kuwa anawaonesha tabasamu mnajua hana shida anawatakia mema.
Yea mimi nilipata kama tarehe hizi August,ila sikumbuki kwa September watu walipata kwenye tarehe ngapi. Kwa hiyo wapambanaji wenzangu ni kuendelea kusikilizia michongo.
Haya mambo ndugu hayana formula,zaidi ni kumuomba Mungu na nafsi yako ibebe imani na kuamini jambo linawezekana. Kila kitu kipo hapo wao walioweka wanajua uzito wa sababu husika. Mimi niliweka hiyo reason ya kutafuta changamoto mpya na walinipa kibali.
Maelezo yapo wazi,nafasi ya cheo(designation)unachoomba kwenye hiyo taasisi (destination)hakipo,omba recategorization kupitia vacancy request na uchague cheo(designation) unayohitaji kulingana na sifa zako.
Kwa dhati ya moyo wangu nawaombea sana wapambanaji wote, Mimi nilishatoa ushuhuda wangu humu kuwa sina ninayemjua na nimehama kupitia ess.Ombi utumishi lilifika Juni 2026 na kibali nikapata August 2026. Niwatie moyo msikate tamaa.hakika Mungu atawatendea.
Mimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.