Watanzania wenzangu, tuwe makini sana na baadhi ya viongozi wetu.:spy:
kuna:spy: baadhi yao ambao wanaishi na vichwa vya zamani katika dunia hii ya kisasa.
Watanzania wa leo sio wa jana, technologia imekwenda mbali hivyo hakuna tena uongo wala siri duniani. Wenzetu wamefanya kila kitu, kuna...
Wana JF nauza gari yangu aina ya L/Rover Discovery Engine TDI 200 ya mwaka 1993.
gari ipo DSM ipo katika hali nzuri inatembea. wasiliana nami kwa namba 0715 315496
Huyu ndie waziri pekee Tanzania anayetenda kazi ikaonekana, pamoja na mengine lakini ufuatiliaji wa Dr. Pombe inatia matumaini, bisha lakini usibishane na ukweli! wengine karaga bao tangu wateuliwe bado wanajifunza mazingira ya ofisi! hata majina ya watumishi wao bado hawayajui Mmoja anamuuliza...
Wana JF,
Naomba tushauriane inakuwaje wakati wa kuapishwa viongozi tunaona serikali ikiwaapisha kwa kutumia vitabu vya dini wakati Serikali yenyewe haina dini wala imani yoyote ya kidini?
Labda kiapo hiki ni cha uongo ndio maana hata walioapa kwa vitabu hivyo wanafanya maovu lakini...
Mie nabaki kusikitika tu maana sasa hivi tuna Rais anayecheka sana na waziri mkuu anayelia sana kwa uchungu, hii miaka mitano tuna kazi. nadhani kuna haja ya serikali kuitisha tenda ya kutafuta mtaalamu mshauri atakayefanya utafiti ili kubaini hasa watanzania kwa kila kabila wana silka gani...
Elimu ya uraia inahitajika iwe endelevu, wengi walijiandikisha ili wapate vitambulisho vya kusajili simu!
huwezi kuamini nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombe tarehe 31/10/2010 saa 9 bado hajapiga kura na wala hakumbuki!:doh:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.