Recent content by saci

  1. saci

    Maamuzi ya JK kurasimisha bodaboda kuwa ajira, yamegharimu maisha ya watanzania wangapi Hadi Sasa? Je tusitishe ama..

    Nilishapigwa na maisha lakini sikuwahi kuwaza bodaboda kama option
  2. saci

    Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    Jumamosi hamfanyi kazi sawa, hivi kutembea sio kazi, kula sio kazi?
  3. saci

    Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

    Umri unakuja na uzoefu
  4. saci

    Kama kijana kabla haujafika miaka 35 tambua haya mambo kumi na moja yafuatayo ili usiishie mhanga wa kulalamika na kujutia

    Umeongea mambo mawili yanayoashiria uwezo mkubwa sana wa wa kiakili 1. Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. 2. Mwenye mamlaka ndio anaetunga sheria.
  5. saci

    Eboué: Jinsi Mapenzi Yalivyomfilisi Star wa Arsenal

    Tunajifunza kwa uzoefu, bahati mbaya muda haurudi nyuma.
  6. saci

    Je, watetezi wa wanyonge apa bongo kama Toyota, Land rover, BMW nk wana magari spacial ya gesi?

    gari linachoma hydrocarbon, cha kuangalia ni viscosity na volatility, ukizicompress propane na butane zinachomwa zinawaka gari inatembea.
  7. saci

    Ipi ni nyimbo yako Bora ya muda wote?

    Just to see you smile - Tim McGraw
  8. saci

    Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Walipandikiza dini ili watutawale kwa muda mrefu bila kutumia nguvu. Watu wenye uelewa wa kawaida wanafuata mfumo ulivyo, wanauamini na hawahoji. Wachache wenye akili nyingi kama mtoa mada wanahoji.
Back
Top Bottom