Bado sijaoa. Ila kazi za nyumbani ni kazi za nyumbani si mwanamke au za wanaume, ni kazi za nyumbani ni basic Sana.
Siwezi kuoa kwa kigezo cha izo kazi ambazo hata mimi naweza kuzifanya na anaweza ajiriwa mtu kuzifanya
Mwanamke inatakiwa awe na kitu extra sio ivyo vitu basic.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.