Recent content by S.M.P2503

  1. S.M.P2503

    Mwisho wa matumizi ya namba za Nida ni Februari 2027

    Ni kwa Diaspora, utaratibu ukoje?
  2. S.M.P2503

    Kuelekea safari ya Maridhiano ya kitaifa: Rais Samia afanya mashauriano na baraza la vyama vya siasa

    Hivi ni kwa nini CCM wao wanataka kuiongoza/kuitawala Tanzania milele na milele? Kwa nini wasikubali kwamba sisi sote ni Watanzania, nyumba yetu ni moja, tunaijenga pamoja... ikipata ufa, tunaijenga pamoja.. wawaachie wengine nao waiendeleze pale ccm walipo ishia . Sio kung'ang'ania kubaki...
  3. S.M.P2503

    Kuuza au kununua kitu chenye alama ya Bendera ya Taifa ni kosa kisheria, utafungwa miaka miwili

    Hiyo sheria inamuhusu mwugulu chemba pia na ILR skafu/tai yake?
  4. S.M.P2503

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    Dish limeyumba tayari... upembuzi yakinifu umeishia hapo...
  5. S.M.P2503

    Mwanamke kukwambia shida zake za kipesa dakika chache baada ya tendo, hii imekaaje?

    Kwa hiyo ni lazima utandaze miguu kifo cha mende bila fujo... si ndio ?
  6. S.M.P2503

    Mwanamke kukwambia shida zake za kipesa dakika chache baada ya tendo, hii imekaaje?

    Kuna mdau mmoja humu humu mwana JF alishawahi pandisha uzi humu ndani na kusema kwamba wanawake karibia wote wanauza nyuchi zao kwa namna yao. Utafute huo uzi humu ndani mgodi uliojaa madini mengi…
  7. S.M.P2503

    Lissu kahukumiwa kufungwa. Mmepata faida gani kisiasa zaidi ya kuchukiwa zaidi na wananchi?

    Siku meza ikigeuka, viongozi wengi wa ccm watakuwa wakimbizi humu duniani
  8. S.M.P2503

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Tuoneshe picha za nyumbani kwenu pia tupaone panavyo lingana na kufanana na huko kwa akina Lissu...
  9. S.M.P2503

    Je, CHADEMA iingie kwenye meza ya maridhiano au laa?

    Ni nani aliyekosewa na maridhiano ni kwa ajili ya kitu gani? Hata Mungu hatakagi mambo ya jumla jumla, mpaka umonyokee hadi aingie kingi ndio mutaelewana na Musamaha au maridhiano yatoke... Mulishupaza shingo, mukakataa ushauri wa Gwajima, Polepole , Lissu na wenzake, sasa mumelazisha mambo...
  10. S.M.P2503

    MAJIBU YA MAAMUZI NA RUFAA KATIKA KESI YA TUNDU LISSU- JUDGEMENT 06-11-2026

    Please see attached na ruksa kuongezea panapostahili. Documents za rufaa ( kwa kiswahili na Kiingereza) nimeziandaa kutokana na nyaraka ya hukumu kama ilivyoletwa humu na mdau tucker carlson ( Asante kwa kushare) Kwa hati ya rufani, nukuu kifungu cha 9(1)(b)(i) na (ii) cha The Appellate...
  11. S.M.P2503

    Rostam: Tusipowajali wakandarasi wa ndani, tutaleta vi-kampuni vidogo vya Kichina kujenga barabara za vijijini

    Huyu bwana huwa ni msemwa kweli, alitusanua habari za majaji kupigiwa simu. Akaachana na ubunge, sasa kaja kutusanua na hizi habari za kuwapa fedha wageni. Ccm wakimbana sana, anaomba msamaha, Halafu ukweli unabaki pale pale. Tuwe tunamchukulia serious , tutatoboa
Back
Top Bottom