Recent content by Rutechula

  1. R

    Lema aondolewe mstari wa mbele wa mapambano haraka ataharibu morali ya wapambanaji vitani wanapigwa risasi

    Kati ya mambo ya ovyo Kama Kuna mambo ya ovyo Lema kafanya ni press yake, mbali na usaliti katoa siri za Chama kwa makusudi Afukuzwe leo hii
  2. R

    Pamoja na kusafirishwa kuelekea D'Salaam John Pambalu hayupo kituo chochote cha Polisi, Je washamuua kama Ally Kibao?

    Hatuwezi kupata namba ya Chacha tukamuuliza vyombo vyake vimemuweka wapi?????
  3. R

    Pamoja na kusafirishwa kuelekea D'Salaam John Pambalu hayupo kituo chochote cha Polisi, Je washamuua kama Ally Kibao?

    Alafu wapuuzi fulani wanatwambia utawala huu unafuata sheria!! Inatakiwa at any time "t" mtuhumiwa ajue kosa lake na ajulikane alipo siyo hii habari ya kuficha watu ili wawatese.
  4. R

    Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Anajua maana ya haki za kimkataba lakini au ni story za vijiweni????
  5. R

    Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Mbali na kunitetea kupitia kwsi hii hasa wasilisho la mwisho imekuwa shule tosha kwa wanafunzi wa sheria, wanasheria na majaji pia. Hakika Lisu umetuonyesha njia ya kweli ya haki na jinsi uzalendo ulivyo katika kutetea haki ya wengi. Mungu mbariki Lisu.
  6. R

    CCM wanauliza hela ya ToneTone, mwaka jana Samia alichangisha B.86 Mlimani city watuambie ziko wapi

    Nchi ya ajabu sana watu kama mawaziri hizo hela walipata wapi????
  7. R

    Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Kati ya hoja nzuri na yenye mashiko ni hii. Hakika wewe ni mwanasheria na wakili wa ukweli. Shida ya CCM ni kwamba wanajiona wako juu ya kila kitu hata juu ya katiba yaani untouchable. Kutoshitakiwa na mamlaka yoyote ni pamoja na CCM hivyo hata hii habari ya kumfanya incommunicado ni ukiukwaji...
  8. R

    Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Utasikia wanufaika wanasema habari ya chakula mezani na si ni kitabu tu
  9. R

    Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Hakika shida ya nchi hii inaanzia hapo, maana mtu mmoja anakuwa ndiye nchi ndiye jeshi, polisi, mwajiri, bunge, mahakama yaani kila kitu cha mchi hii ni yeye na waliomzunguka. Hivyo tunaposema katiba mpya machawa hayaelewi shida ya mtu mmoja kumiliki kila kitu ikiwa ni pamoja na uhai wa watu...
  10. R

    Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

    Tunakushukuru sana kwa huruma yako ila sasa ina harufu ya mshiko wa kuharibu chama. Kama CCM wanataka mazungumzo si wamuachie lakini hawataki na wewe unajua kuwa hawataki sana sana CCM wanataka wamtumie kama chambo au karata ya kutaka wanayo yataka. Ila sisi CDM hatulikubali hilo na pia...
  11. R

    Kwanini asijiuzulu Leo badala ya tarehe 4 Septemba? Anataka kumalizia kazi gani aliyoisahau na anadhani watampa nafasi aikamilishe?

    Muhimu ni 1. kwa nini hakuna neno lolote kutoka serikalini? 2. ⁠Mbona barua haikuandikwa kwenye official headed paper? 3. ⁠Kwa nini anasema nimemwandikia Rais barua alafu maudhui ya hiyo barua yanakuwa sehemu ya taarifa?? 4. ⁠Mbona main media (TBC, ITV etc) za hapa nchini hazitangazi hiyo habari
Back
Top Bottom