We are not supposed to keep quite on this!huyu jamaa ni mdini mno,nilikua sikubali nilipokua nikisikia kuhusu hili.Now nimeamini na nahisi atatuletea matatizo baadae
Nadhani Kibonde ameshindwa kuelewa upepo unaendaje,sasa namshauri asome alama za nyakati,watanzania wanataka kutoka kwenye Udanganyika.Asifikiri kwa mawazo magando,he has to open up his mind vinginevyo akiloose populality hata pata deal nyingi.Kusema kweli wafanyakazi wengi wamemchukia sana...
Walionacho-waasia ambao wanazidi kupewa tender zote na kutufanya sisi kama mapunguani.
Tusionacho-Ni sisi wadanganyika tunaofanywa mabwege katika nchi yetu,watu wachache(politicians) wanajiona kama hii nchi wamepewa wao ni huyu muumba.
Final Thought:
Haya yote yana mwisho and the only...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.