Recent content by RSM Dominik

  1. RSM Dominik

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Hujielew, unamdekeza atakupa shida mbeleni, binafsi utaratibu mwanamke ni msaidiz wako haswa shughuli za nyumbani, ni mwiko kujifulia boksa au suruali zako wakati yeye yupo, ni mwiko kupika wakat yy yupo inashauriwa ni kama anaumwa au ana tatizo tuuuuu, msipende kudekeza kijinga
  2. RSM Dominik

    Baba miaka 45 amenyooshwa na mtoto wa 23, limekimbia bila viatu

    STORI YA KUTUNGA UPATE CHA KUANDIKA, SIKU HIZI BAADA YA HIZI TAFRANI ZA POLISI NA RAIA, WENGINE MNAANZA KUBUMBA BUMBA MPATE VIEWS, LIKES NA COMMENT KUANZISHA THREAD
  3. RSM Dominik

    Ondoka Dar, unapoteza muda!

    Live mkuu Dar fursa zilikuwa zamani ila now fursa chache na za kung'ang'aniana, ukweli mchungu
  4. RSM Dominik

    Remmy Ongala, mwanamuziki aliyefanya muziki kuwa sauti ya wanyonge na kuibua mijadala iliyokuwa migumu kuizungumzia!

    Napenda kufahamu yule back singer wake kwenye zile live performance anaitwa nani??, mjomba mmoja walikuwa wanapokezana sana kuimba haswa kwenye wimbo wa live kama ONE WORLD
  5. RSM Dominik

    Serikali ya CCM, imewakumbatia Wachina. Huyu Operator, Mzazi wake amefariki mwezi ulopita kwa kukoswa Pesa ya Matibabu!

    Bado bakhressa na MO DEWJI, wachina wanawalipa ndugu zetu alfu 5 kwa siku viwandani, hawa jamaa kama hawakujipanga kuwekeza watuache tujizalishie pkan zetu wenyewe tutatoboa
  6. RSM Dominik

    Aisee nimekuja kuona wanao enjoy maisha ni watu wa uswazi

    Mh mkuu si kweli, raha ya uswazi ni a tiny percent tu katika mengi, uswazi ndo UTI, GONO, FANGASI zinapotokea mzee, we kama wa kishua proceed to remain clean as possible, misosi tu ndo inanivutia
  7. RSM Dominik

    Wadogo zangu mliozaliwa 2000s na kuhitimu kidato cha 4 shule za kata, kuna askari Police anaitwa OC-CID (Mkuu wa Upelelezi). Mnamjua??

    HAHAHAA OC-CID MKUU WA MA-CID,COMMANDING OFFICER WA CRIMINAL INVESTIGETION DIPATMENT NOMA SANA, BORA YA OC-FFU, OCD, OCS, SIO ZCO, RCO AU OCCID
  8. RSM Dominik

    Nini kimetokea kwa bwana mdogo Dominic Mmasi wa Room of Jeans?

    Nawaza aliipaataje hiyo 200m? Ktk umri mdg
Back
Top Bottom