Recent content by Royals

  1. Royals

    Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Kama mmekuwa mkikulana wakati wote huo mmeshakuwa wanandoa wasoliojulikana. Na ukumbuke kuwa aliykuwa analiwa muda wote ni wewe. Kwa hiyo ni juu yako kupambania kombe ili mtu wako asije akachukuliwa na kimrembo kipya. Ukimsaidia mtaji ili ajiimarishe kiuchumi unajisaidia wewe pia kwa sababu...
  2. Royals

    Kama ulikuwa hujui kuwa Dar es Salaam kuna sehemu kuna bomba kubwa limeingia baharini, wacha nikufahamishe...

    Bila shaka wewe ni mwalimu unye ifahamu vizuri kazi yako. Umefanya kazi njema. Elimu haina mwisho.
  3. Royals

    Hali ya hewa Marangu -Rombo haifai siku ya leo Juni 25

    Leo nafuu kumekuwa na kajua lakini siku zilizopita ilikuwa ngoma droo na Marangu.
  4. Royals

    Kwanini waluguru hawapendi shule?

    Mbona wewe umesoma?
  5. Royals

    Msaada: Gari Kushtuka ikiwa kwenye mwendo mdogo

    Mrejesho unahitajika kwa ajili ya kusaidia wengine wenye shida kama hii.
  6. Royals

    GARI AUTOMATIC KUZIMA GHAFRA IKIWA KWENYE MSELELEKO

    Kama ukipata au umeshapata ufumbuzi wa tatizo hili ni vizuri ukarudisha mrejesho kwa sababu tatizo hili liko na watu wengi pamoja na mimi. Namba yangu ni 0784333470 ukinipigia itakuwa ni vyema zaidi.
  7. Royals

    Noah old model kuzima ikiwa kwenye mwendo mdogo

    Tatizo hilo linatusumbua wengi kwenye magari ya automatic. Ukifanikiwa kupata ufumbuzi wake uje utupe mrejesho ili tufaidike wengi.
  8. Royals

    Gari yangu inajizima nini tatizo?

    Asante kwa ushering huu. Uko na namba ya fundi wa Dodoma?
  9. Royals

    Msaada Nissan xtrail inajizima sana

    Brother, nina shida kama yako kwa gari kama yako, naomba tuwasiliane kwa ushering zaidi. Namba yangu ni 0784333470
  10. Royals

    Msaada Nissan xtrail inajizima sana

    Nina shida kama yako bila kuongeza chochote naweza kuwasiliana nawe kwa simu namba yangu ni 0784333470
  11. Royals

    INAUZWA RAM ya Desktop brand new 8GB ddr4

    Computer yangu ina 4GB Ram nikinunua hii itaongeza nini zaidi?
Back
Top Bottom