Sasa kipi kimekuchekesha hapo? Umesahau kwamba hata Nchimbi alikuwa na msafara, nyie watu mbona hamjifunzi.
Ulipo hapo leo Kesho anakaa mwingine, penda usipende ndio life, stay humble, no one is safe, ni swala la muda tu.
Hii sio ishu ya dini, hapa ni ishu ya maslahi/Safu za kiongozi na kuhakikishia usalama huko tuendako.
Hili game bado ni gumu kila upande na wananchi ndio wataamua nani awe mshindi.
Binafsi kuna muda nadhani wapo baadhi ya viongozi wanatamani mambo yaende kwenye mistari ila hawana hiyo power, sasa inapotokea MTU kama huyu akaongea basi huwa wanafurahi maana ujumbe umefika, bila shaka wamekuwa wamesadiwa kufikisha ujumbe.
Ninaamini Mh.Chalamila hana uwezo wa kufanya lolote...
Jana nilikaguliwa mpk nikaona kero, vitu ndani ya begi vilikuwa vinatolewa na kuparanganywa, nikamuuliza yule kijana aliyekuwa anafanya hilo zoezi kwa msaada wa usimamizi wa Polisi, unafahamu thamani ya hiyo laptop, tukaishia kugombana.
Ninachosikitika ni kwamba wenye mabanda huko ndani...
Kuwa mkweli chief, 7/7 haina watu.....nilikuwepo Jana watu walikuwa wengi wa kutosha, leo nipo hapa hakuna watu, kama Mtanzania nasikitika maana naona Taifa linaangamia kwa porojo za viongozi..........tuache hizi propaganda, tumeshadanganya sana hatujafanikiwa lolote, tujaribuni kusema ukweli...
CCM ni chama kikubwa, kinaoendwa, kina wanachama millions.......wanashindwa nini uhamasishaji na chama wanachodai kinakufa, kama CDM inahamasisha maandalano CCM uitumie mtaji wake wa kupendwa kuhamasisha mshikamano na amani.
Huu mnyukano mbona CCM wanataka Polisi iingilie Kati...
Nyinyi ndio munampitisha Madam President kwenye tanuru la Moto.
Mupo nje ya ulingo munaona dakika za masumbwi ni chache, munamuambia mama akaze, sio sawa.
Mliopo karibu naye mlipaswa kumueleza ukweli, kuridhiana na Lissu sio unyonge au kujishusha, huo ni uongozi imara, tena hasa kama...
Wazilete Tu, zinapendeza sana zikiwa zimejipanga pale Airport, mana hata tukisema zinatia hasara Taifa hamtusikilizi, leteni ziwe mapambo, zingine mubebee chawa kwenda kushangilia Moira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.