Recent content by Roro_riri

  1. R

    Licha ya tangazo la kufunga shule na El Nino, shule ya Carmelite imepanga kuendelea na masomo

    Tuition ni maamuzi ya mtu binafsi school closure is a public announcement.
  2. R

    DOKEZO Baadhi ya shule binafsi kutofunga shule/ kutokubali agizo la serikali la shule zote kufungwa kwa sababu ya el nino

    Msala mbali kwann walitoa tangazo for safety first? Tatizo watz weng wnapenda kupuuza mpka yawakute🤣🤣
  3. R

    DOKEZO Baadhi ya shule binafsi kutofunga shule/ kutokubali agizo la serikali la shule zote kufungwa kwa sababu ya el nino

    Baadhi ya shule binafsi katika maeneo ya masaki na sehemu nyengine zinakaidi amri ya serikali kwamba shule zote zifungwe tarehe 13 novemba . Baadhi ya shule hizo zinakaidi na kutoa sababu kwamba kwasababu hawaoni mvua zozote zikinyesha na mpaka serikali labda itoe onyo au kama itachukua hatua...
Back
Top Bottom