Recent content by Room 28

  1. Room 28

    EAST AFRICA GIANT CITY : Nairo Vs Dar Vs Adis Ababa

    Ni yamoto saizi tangu ufanyiwe Upd grade
  2. Room 28

    EAST AFRICA GIANT CITY : Nairo Vs Dar Vs Adis Ababa

    Wakuu lipi ni Jiji bora zaidi kuitwa Giant city of East Africa? Kati ya Nairobi, Dar na Adis Ababa
  3. Room 28

    wakuu,biashara ya choo cha kulipia ikoje?

    wanatamaa sana hasa wakiona chochote kitu kinaingia
  4. Room 28

    wakuu,biashara ya choo cha kulipia ikoje?

    ebu nimtafute mmiliki aisee
  5. Room 28

    Let’s communicate in code.

    88 999 444 0 777 444
  6. Room 28

    Let’s communicate in code.

    2 777 444 / 9 2 9?
  7. Room 28

    Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

    Kwaiyo mungu hana akili??? Aliyewaumba?
  8. Room 28

    wakuu,biashara ya choo cha kulipia ikoje?

    Location :Ni mjini kati sehemu za biashaara Matundu :4 Activities: sehemu ya maduka ya jumla Kodi: milion8 kwa mwaka Repair: NO JENGO: sijui mmiliki najua msimamizi ila n mtu binafsi 7.mkataba wa mwaka mmoja mmoja
  9. Room 28

    wakuu,biashara ya choo cha kulipia ikoje?

    Naona biashara hii imeshamili kwa kasi sana! Naomba nipate ABC kwa nyie mnaofanya hii biashara!! Mtu amechukua choo gorofani analipisha wateja! Je n biashara nzuri kuwekeza? mfano: NIMEULIZIA CHOO HAPA KODI YAKE 8M KWA MWAKA Location :Ni mjini kati sehemu za biashaara Matundu :4 Activities...
Back
Top Bottom